zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Akileta ubisho soon B atabanduliwa na vijana wa 2000 km ilivyotokea kwa Jada wa Will Smith vijana wa 2000 wanakula mpaka tope sababu ya Will kuleta ubishoo kwa hio lazima aonyeshe ufather ukoloni na ubandidu sura ya kauzu unaijua dagaa kauzu ushawahi kumuona anachekacheka?Jay z ndo anazidi kuonekana kama jambazi flani hivi
Mambo ya dark ages hayo.Mkuu unafahamu kitu inaitwa Adrenechrome?
Hakuna kitu wanacho mnyonya, ni yeye ndyo ana nyonya damu za watoto wadogo.Mambo ya dark ages hayo.
Unataka kusema wanamnyonya blue ivy?
Sema hapo umeongea nenoVitoto vya 2000 vinazeeka saana....Angalia hata mitaani.
Kwanza vina kazwa saana .
Pili, havifanyi kazi miili legelege.
Tatu, muda mwingi vipo kwenye gadgets sura zinakomaa na macho yanafura.
Mambo ni mengi....Ila fuatilia vya kiume ndiyo kabisa utadhani vimezaliwa 74.
Unadhani Marioo ana umri gani au yule demu wake? Guess halafu ulizia umri wao