ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Aisee namimi nilishangaa....sikuaminiPoa! Mtani wangu alikufa njaa ila kwenye koti lake zilipatikana 200000
unashindwa kudaka hata ka starlet ka 4m kweli?Sio una 30m bank alafu unabanana kwenye daladala..
Alaf kwenye daladala wakakua wasumbuf hao..unashindwa kudaka hata ka starlet ka 4m kweli?
Hela inatabia mbaya sana... Inafanya kama unavyoifanyia wewe.Hela zinakufanyia Nini sio unaweka hela chini ya mto.unalala njaa akati hela ipo hata kununua sembe unga unashindwa..huu usemi mzuri Sana utumie katika Biashara zako waambie wateja nawe utatoboa