Hela ikutunze wewe na sio wewe uitunze hela

Hela ikutunze wewe na sio wewe uitunze hela

Hela zinakufanyia Nini sio unaweka hela chini ya mto.unalala njaa akati hela ipo hata kununua sembe unga unashindwa..huu usemi mzuri Sana utumie katika Biashara zako waambie wateja nawe utatoboa
Hela inatabia mbaya sana... Inafanya kama unavyoifanyia wewe.

Ukiitunza ikaridhika kwanza na yenyewe inakutunza mpaka uridhike baadae.

Ukiitapanya... Itakutapanya wewe... Mpaka utajuta... Ikimalizana na kukukimbiza huku na huko siku nzima.. unapokaa kitako inachukua akili inaipeleka huku, moyo kule mwili huko.. utajuta nakwambia... 🙂
 
Back
Top Bottom