ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hela zinakufanyia nini sio unaweka hela chini ya mto, unalala njaa wakati hela ipo hata kununua sembe unga unashindwa.....huu usemi mzuri sana utumie katika biashara zako waambie wateja nawe utatoboa.