Hela ya bodi heslb utailipa tumia vizuri

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
nimeona ni vema kuwaeleza ndugu zangu walioko chuo na wanaotarajia kuingia chuo mwaka huu kuwa pesa tunayopewa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu(heslb)Kama mtu umebahatika kupata utailipa kama wanavosema ingawa kuna maneno ya kufarijiana tukiwa chuo kuwa ooh sitalipa ila kiukweli kila mtu atalipa na kuna kupingwa faini kama umechelewa kuanza kulipa nadhani mmesoma haya sasa cha kufanya ni kuhakikisha kuwa unatumia pesa hiyo vizuri lasivyo kuna kujuta.kuna wapenda kuiga na starehe za ajabu ajabu,kuna wanaozani kuwa hela hizo ni nyingi na si kweli...kwaiyo kama mwanajamii nimeona ni vema kuwashauri haya tusije baadae tukapata malalamiko hatukuwaambia na tahadhari ni kuwa usije ukatoka huko kwenu kama first year na ukaja na ela ya nauli ukizani kuwa eti kuna mkopo tu ukiripoti,serikali na bodi yake na vyuo vingi sana havieleweki kwenye kutoa hiyo pesa na first year kwa uelewa wangu ni mpaka wafanyiwe registration wakae kidogo ndio wapewe kwaiyo jiandae vema.......
NAWASILISHA
 
Kwani nikinunua computer a.k.a laptop ntakua nimetumia vibaya???
 
Mkuu naomba ufafanuzi.Hivi meal allowance kwa sasa ni sh 7500 au sh 10,000 kwa siku?Na je wanalipa kwa semister au ni kwa muda gani?Na ni kiasi gani kwa mkupuo mmoja mtu unalipwa?Mkupuo huo ni pamoja na stationary and book allowance?

Naomba majibu mkuu au mtu mwingine yeyote anaejua naye anijuze.
 
swali zuri sana, ningependa lijibiwe
 
jamani mtu kama mimi nilisha zoea kupewa pocket money Tsh.10,000/= si nitachanganyikiwa nikishika hizo!! kwelibmungu atusaidie
 
Tena kwa kuwasaidia wale wanafunzi, Sheria imebadilishwa makato ni asilimia nane ya basic salary.Kwa hiyo baada ya kumaliza masomo yenu mjiandae kwa hili
 
Mkuu naomba ufafanuzi.Hivi meal allowance kwa sasa ni sh 7500 au sh 10,000 kwa siku?Na je wanalipa kwa semister au ni kwa muda gani?Na ni kiasi gani kwa mkupuo mmoja mtu unalipwa?Mkupuo huo ni pamoja na stationary and book allowance?

Naomba majibu mkuu au mtu mwingine yeyote anaejua naye anijuze.

Ela ya kujikimu ni 7,500 kwa siku,unalipwa kwa semester mbili kila semester ina siku 120 na huwa wanatoa kwa mikupuo 4 ya miezi 2,hivyo kila baada ya miezi 2 unapewa 450,000...ela ya stationaries utapewa na bum la kwanza,which means bum la kwanza litakuwa 650,000 ivi...
 
Kwani nikinunua computer a.k.a laptop ntakua nimetumia vibaya???

utakua umetumia vizuri sana kama mimi st year nilinunua laptop kama kitu cha kwanza ila uwe na uhakika wa wapi pa kula la sivyo kama we mkristo uwe unafunga
 
Mkuu naomba ufafanuzi.Hivi meal allowance kwa sasa ni sh 7500 au sh 10,000 kwa siku?Na je wanalipa kwa semister au ni kwa muda gani?Na ni kiasi gani kwa mkupuo mmoja mtu unalipwa?Mkupuo huo ni pamoja na stationary and book allowance?

Naomba majibu mkuu au mtu mwingine yeyote anaejua naye anijuze.
ushajibiwa kaka ndio hivyo
 
Ela ya kujikimu ni 7,500 kwa siku,unalipwa kwa semester mbili kila semester ina siku 120 na huwa wanatoa kwa mikupuo 4 ya miezi 2,hivyo kila baada ya miezi 2 unapewa 450,000...ela ya stationaries utapewa na bum la kwanza,which means bum la kwanza litakuwa 650,000 ivi...

Mkuu nashukuru sana.
 
Kuna watu wanataman hata kuacha chuo kwa sababu ya pesa ya bodi kutokuwatosheleza
 
Back
Top Bottom