Hela ya Mama Abdul bila shaka inaendelea kufanya kazi, ni swala la muda tu kabla Lissu hajamlipua Mbowe

Kwa mtazamo wangu, aliyokuwa anayasema Lissu sasa tunaanza. kuyaona wazi wazi na hivyo ni swala la muda tu kabla Lissu hamjamuumbua Mbowe.
Na yeye akimlipua maana ndio aliekuwa akimuogesha hospita ya Nairobi baada ya kuwa hajitambui? Kama atafanya hivyo lissu nitazidi amini kwamba kweli Lissu anaendeshwa na Msigwa kama drone ya kupulizia wadudu mashambani
 
Kwa hiyo ukinisaidia wakati naumwa napaswa nikutunzie uovu?
 
Back
Top Bottom