Tundu Lissu ameshtukia kuna siasa za kuwalaghai watanzania.
Na watanzania wamekuwa wakidanganywa kwa muda mrefu sana na biashara ya siasa.
Masikitiko yangu ni kwamba, hata kama Lissu akishinda uchaguzi na Mbowe akiondoka, Lissu hatokuwa na watu wa kusaidiana nae. Kila mtu ndani ya hicho chama anawaza kula.
Kwa wale mliomsikia mpambe wa mwenyekiti bwana Boniyai, alisema wote tumekula na tunataka kula na kila mtu anakula muda wake ukifika. Tofauti na Lissu siasa zake sio za kuwaza kula, ni za harakati za kutetea wanyonge.