gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 3,915
- 6,272
CUF ilikua na udini au wakristu Wana kinyaa na jambo ambalo waislam wako mbele!?..media ndiyo zilikomaa kwamba cuf ina udini,hata habari zao hazikuonekana kwenye Media,kuna kasisi alimtambia sheikh mmoja kwamba cuf wameshaiuaVyama Makini huwa vinamalizwa na RUSHWA UKABILA na UDINI.
UDP kilimalizwa na UKABILA na kutokuwa na Ukomo wa Uongozi
CUF kilimalizwa na UDINI na kutokuwa na Ukomo wa Uongozi
TLP kilimalizwa na "Umangimeza" wa Hayati Mrema
Net salary yako ni(-)Kwa mtazamo wangu, aliyokuwa anayasema Lissu sasa tunaanza. kuyaona wazi wazi na hivyo ni swala la muda tu kabla Lissu hamjamuumbua Mbowe.
Mkuu kumlipua kwa kitu gani.Na yeye akimlipua maana ndio aliekuwa akimuogesha hospita ya Nairobi baada ya kuwa hajitambui? Kama atafanya hivyo lissu nitazidi amini kwamba kweli Lissu anaendeshwa na Msigwa kama drone ya kupulizia wadudu mashambani
Nenda na wewe ukahongwe uchanwe marindaKuna jamaa aliniambia ile siku Mbowe alikutana na Mama Abdul baada ya kutoka Magereza alipewa Bil. 20
Then akaja kupewa Bil. 10 na ziliwekwa kwny Private Account
Aliyeniambia ni Mtu wa karibu sana na Jamaa
Labda iwe Uzushi [emoji1787]
Lisu ataongea utumbo lakini mbowe kwa busara hatamjibu na lisu atajiondoa mwenyewe na hatapata chama cha kumpokea maana vyama vyote vinajua lisu ni chiziBiashara ya ubia Kati ya Mbowe na CCM Lisu anaenda kuiharibu muda Siyo mrefu. Mbowe ana muda mchache Sana wa kujitafakari na kuchukua hatua
Mbowe anachukua uongozi, tafuta pa kukimbilia, hapa tuna screen shot tu post zako kwa matumizi ya baada ya uchaguziHarakati za mapambano zitaendelea.
Lisu ni mpakwa mafuta, huwa hataki vitu vya gizani gizani.Kwa mtazamo wangu, aliyokuwa anayasema Lissu sasa tunaanza. kuyaona wazi wazi na hivyo ni swala la muda tu kabla Lissu hamjamuumbua Mbowe.
Kuna mtu pia alinambia kuwa Mbowe ni agent wa ccm, ndiyo maana siku wanachadema wa Tanga kwenye mazishi ya Kibao walipotaka kulianzisha dhidi ya Masauni, Mbowe nusura atoe pistol yake kiunoni awafyatulie.Kuna jamaa aliniambia ile siku Mbowe alikutana na Mama Abdul baada ya kutoka Magereza alipewa Bil. 20
Then akaja kupewa Bil. 10 na ziliwekwa kwny Private Account
Aliyeniambia ni Mtu wa karibu sana na Jamaa
Kama Baba yako alichanwa unafikiri kila Mwanaume atachanwa?Nenda na wewe ukahongwe uchanwe marinda
Wanasiasa ni wale wale... Mfuatilie Msigwa vizuriNa yeye akimlipua maana ndio aliekuwa akimuogesha hospita ya Nairobi baada ya kuwa hajitambui? Kama atafanya hivyo lissu nitazidi amini kwamba kweli Lissu anaendeshwa na Msigwa kama drone ya kupulizia wadudu mashambani
Mbowe ajue mabadiliko yakifika yamefika tu, hata afanye nini. Lisu amefanya movie ya uhakika. Sasa rasmi ubia wa Mbowe na ccm unaenda kuonekana vizuri.Anaenda kuwa kama Lipumba.
Yanyooshe mkuUnachanganya maswala mawili tofauti kabisa.
Lissu Leo kaweka wazi wenje ndio alienda na Abdul nyumbani kwake, wenje ameshawishiwa na mwenyekiti agombee umakamu. Lissu anauliza hapo nani anatakiwa kuulizwa kuhusu pesa iliyotembezwa chamani?Mbowe ajue mabadiliko yakifika yamefika tu, hata afanye nini. Lisu amefanya movie ya uhakika. Sasa rasmi ubia wa Mbowe na ccm unaenda kuonekana vizuri.
Itakuwa ni aibu kubwa kwa Mbowe kujidhalilisha katika hatua hizi za mabadliko. Atajiondolea heshima aliyo jijengea huko siku za nyuma. Historia itamhukumu vibaya sana.Mbowe ajue mabadiliko yakifika yamefika tu, hata afanye nini. Lisu amefanya movie ya uhakika. Sasa rasmi ubia wa Mbowe na ccm unaenda kuonekana vizuri.
Sasa bado huoni tofauti iliyopo katika hayo uliyo andika hapa?Tundu Lissu ameshtukia kuna siasa za kuwalaghai watanzania.
Na watanzania wamekuwa wakidanganywa kwa muda mrefu sana na biashara ya siasa.
Masikitiko yangu ni kwamba, hata kama Lissu akishinda uchaguzi na Mbowe akiondoka, Lissu hatokuwa na watu wa kusaidiana nae. Kila mtu ndani ya hicho chama anawaza kula.
Kwa wale mliomsikia mpambe wa mwenyekiti bwana Boniyai, alisema wote tumekula na tunataka kula na kila mtu anakula muda wake ukifika. Tofauti na Lissu siasa zake sio za kuwaza kula, ni za harakati za kutetea wanyonge.