Hela ya Mama Abdul bila shaka inaendelea kufanya kazi, ni swala la muda tu kabla Lissu hajamlipua Mbowe

Itakuwa ni aibu kubwa kwa Mbowe kujidhalilisha katika hatua hizi za mabadliko. Atajiondolea heshima aliyo jijengea huko siku za nyuma. Historia itamhukumu vibaya sana.
Nahisi amechukua hela ya ccm kuhakikisha Lisu hapati nafasi ya kugombea iwe uenyekiti, ama urais, sasa anashindwa kujua asimamie kwenye kuheshimu demokrasia na mabadiliko, ama asimamie vipande 30 vya fedha kutoka ccm. Safari hii Lisu amefanya move ya uhakika, ngoja ukweli ufahamike.
 
Kuna jamaa aliniambia ile siku Mbowe alikutana na Mama Abdul baada ya kutoka Magereza alipewa Bil. 20

Then akaja kupewa Bil. 10 na ziliwekwa kwny Private Account

Aliyeniambia ni Mtu wa karibu sana na Jamaa

Labda iwe Uzushi 🤣
Hii nchi ina pesa aiseee.
 
Biashara ya ubia Kati ya Mbowe na CCM Lisu anaenda kuiharibu muda Siyo mrefu. Mbowe ana muda mchache Sana wa kujitafakari na kuchukua hatua
Lissu anafanya mageuzi ya kweli. Hata Mbowe aking'ang'ania madaraka ataishia kuwa kama Lipumba na watu watajua kuwa hakuwa mpinzani wa kweli bali ni ccm aliyejivika joho la upinzani ili kuuhadaa umma. Lipumba watu walipomshtukia kuwa ni mlagai wa kisiasa wakaikimbia CUF na ndicho kinachoenda kumtokea Mbowe.
 
Lissu kinachomuuma ni viongozi kuchukua pesa nyuma ya pazia. Anajua kabisa sugu ni mmoja wa waliochukua pesa alafu sasa hivi ndio mwenyekiti wa Kanda. Hapo kutakua na upinzani wa kweli? Hayo ndiyo yanamuumiza kichwa lissu. Mmechukua pesa mtawezaje tena kuwa wapinzani wa kweli?
 
ACT NI NDOTO KUWA CHAMA KIKUU
 
Wewe unakimbilia mbele kabla ya haya yaliyopo kutengemaa.

Zungumzia "Uenyekiti wa Sugu" baada ya Tundu Lissu kuchukua uongozi wa chama, hapo tutajadiliana vizuri.
Kama kweli unaona kuwa mwenyekiti wa kanda atajifanyia mambo yake pembeni yasiyo kubaliwa na Mwenyekiti wa chama, hapo kuna kasoro kubwa ndani ya chama hicho unacho kiwazia wewe.
 
Binafsi naomba waTanzania wanapo yaona na kuyasikia haya ya akina Mbowe; wasisahau chimbuko la matatizo linapo anzia.

Kama Samia amefanya kila namna ya manunuzi ili mradi tuu aendelee kuwepo kwenye uongozi, kwa nini waTanzania washindwe kujuwa tatizo la nchi yao ni nini?

Haya ndiyo waTanzania watahitajiwa kuyaelewa na kuyafanyia maamuzi muhimu 2025; yasiishie tu kwa hawa akina Mbowe.
 
Nilipo waambieni mbowe ni muhuni na mpumbavu mkaniona natukana
Yule hata ukimwangalia tu utajua ni msanii wa kisiasa wala si mpinzani na ndio maana ccm wanatetea abaki kuwa mwenyekiti kwa sababu ni kibaraka wao.
 
Kama sio ACT Wazalendo, ni chama gani kingine kinachoweza kupokea hicho kijiti?
Hakuna kwa sasa labda watu wa jpm waamie chama chochote ndiyo kitakuwa na nguvu ...nao ni ngumu kuingia hivyo vyama kwa sababu ni vya kipumbavu bora wapambane kimya kimya ndani ya ccm hadi hatakapo kuja rais asiye MUISIHARAMU ndiyo nchi itapata tena mwangaza...kwa sababu genge lote la raia feki ni waislamu na vibaraka wao ambao ni raia kweli ni waislamu...kuna kikundi cha watanzania waislamu kinatumia na genge la Raia feki k7fisidi na kuhalibu nchi
 
Na hayo ndiyo yanayo msukuma agombee uongozi wa chama; na siyo kuwa "wapinzani wa kweli", bali kuwa chama tawala kinacho fanya kazi kuwatumikia waTanzania kwa manufaa yao na nchi yao.
 
Kelele za nini ? Tusubiri uchaguzi siameshachukua fomu ?? Basi asubiri uchaguzi kura zipigwe kama anadhani atapita bila kupingwa basi amechemsha mapemaaa !
Mbowe mbele kwa mbele !
Mtoto wa Town vs mtoto wa shamba
 
RUSHWA ya Mama Abdul itaifanya CHADEMA iende kuwa kama TLP na Vyama vingine vilivyotiwa mfukoni.

Ikiendelea hivyo CHADEMA siyo Baba yangu wala Mama yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…