Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

Yes. You are alright 300%.
Kitonga kibaya, hawa watu wagumu kwenye pesa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti kukopa vitu kwa waha.
mkuu inaelekea una experience sana na maisha ya uswahilini.
 
Duuuuuhhh jamaa kala mzigo kwa buku 3!!!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]eti kukopa vitu kwa waha.
mkuu inaelekea una experience sana na maisha ya uswahilini.
Yes. Mimi mpaka sasa nakaa uswahili haswa. Ingawa nina mjengo wangu wa kisasa huko Mvuti. Mimi ukinikuta uswahilini unaweza ukaniona lofa tu nisiye na nyumba , gari au pikipiki but I have all of these. Uswahilini raha vitu bei poa
 
Una staili kama yangu ya maisha.
Ukinikuta uswahilini unaweza kunidharau ila nikikuonesha mjengo wangu na akaunti yangu utakimbia.
 
Ukimla mdeni wako unamsamehe deni au unaongeza na nyingine? Mwanamke hakopeshwi pesa hupewa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…