Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

Wasalamu wakuu!

Siku hizi wanawake hasa mijini wako busy na michezo ya upatu na VICOBA au Sacco's . Sasa ikifika siku ya marejesho au Kusubmit pesa ya mchezo wanahaha kabisa mpaka wanaanza kujirahisisha kwa wanaume. Kama mnavyojua sisi wanaume wema wetu huishia kujitunukia nyuchi.

Usikubali mke wako au mpenzi wako ajiingize huko. Katika vitu nilivyomkataza wife ni pamoja na kucheza hii michezo au kukopa vitu kwa Waha.

[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1487]
 
Kuna siku ilikua j mos nimekaa zangu hom akaja mdada mtu mzima kidogo,akanambia nimsaidie 5000 ili jion aende nayo kwenye kikoba Mana wenzake hawatamwelewa,nikamwambia utanilipa lini? Akanijibu,,,"kusema ukweli sijui nitakua nimeipata lini"

Pale pale nikaongea kiutani "unaonaje unipe hyo kitu"? akajibu,,,mmmh kwa 5000? Nikamwambia,, yeah,,, ninayo hyo hyo,akanambia ngoja niende nioge narudi,akaenda baada ya lisaa akarudi nikajipgia mzigo nikampa elfu tano yake,Nimekula mzigo karbia miez 6 nikaona mazoea yanazid ikabid nimpge chini kabla mume wake hajasoma mchezo.
Mkuu hii hatari sana hii! Kuwa makini
 
Rafiki yangu wa karibu alinisimulia, kuna mwanamke jirani alienda kwake usiku saa mbili akamkuta amekaa anaangalia tv.. mazungumzo yalikua hivi:

Mwanamke: nakuona umejipumzisha

Rafiki : Yah, nimechoka sana leo si unajua kazi zetu

Mwanamke: Pole, me nimepita kukusalimia tu acha niende zangu

Rafiki: Sawa ahsante, karibu sana

Mwanamke: Ahsante, sasa hiyo 3000 si unipe mimi
(Kulikua na sh. 3000 juu ya meza)

Rafiki: Hiyo ndio ya kuanzia kesho, sina zaidi ya hiyo.

Mwanamke: sasa mfano wifi yangu akipiga simu akataka hela utafanyaje?

Rafiki: nitamwambia asubiri mpaka nikipata

Mwanamke: mwenzako kesho nina marejesho, na wale wenzangu hawatanielewa nikiwaambia sina.. nipe mimi hiyo 3000

Rafiki: Sasa mimi nikikupa na wewe utanipa nini? Mimi sitaki kukudai

Mwanamke: Kwani wewe unataka nini?

Kilichofuatia nadhani kinaeleweka, yule mwanamke aliondoka pale saa 6 usiku na sh 3000 yake.
una vimanenooooo
 
Mpo sahihi, hii michezo acha waendelee kucheza maana sisi 'wafadhili' imetunufaisha.

Atakayekosa hela ya rejesho anitafute.
 
Mruhusu tu Muha akatishe katishe kwako utakuja kuanzisha Uzi hapa. Mwanamke kisaikolojia tu ni kwamba hapaswi kuzoeana na mwanaume yeyote ukimuondoa mume wake.
Sababu n nn?
Ninaye mwanamke ni rahisi sana kuzoeana na wanaume
 
Mi naumia coz nikichagua rafiki mwanaume napata benefits nyingi sana tofauti na ushost
Nikiwa na urafiki na wewe, wewe uta-benefit toka kwangu, sasa mm nkiwa rafiki yako ntakachopata toka kwako ni nini mkuu 🤔 witnessj
Screenshot_20250127-164757.jpg
 
Wasalamu wakuu!

Siku hizi wanawake hasa mijini wako busy na michezo ya upatu na VICOBA au Sacco's . Sasa ikifika siku ya marejesho au Kusubmit pesa ya mchezo wanahaha kabisa mpaka wanaanza kujirahisisha kwa wanaume. Kama mnavyojua sisi wanaume wema wetu huishia kujitunukia nyuchi.

Usikubali mke wako au mpenzi wako ajiingize huko. Katika vitu nilivyomkataza wife ni pamoja na kucheza hii michezo au kukopa vitu kwa Waha.
Unajuaje hakopi?
 
Back
Top Bottom