Antetokounmpo
JF-Expert Member
- Feb 5, 2020
- 1,239
- 2,023
[emoji23][emoji23][emoji23] ila binadamu bhana, eti wana vumbiKinachoniuma ni kwamba wale watembeza vyombo wanakuwa na vumbi la Congo kwenye kidocho [emoji20]
[emoji23][emoji23][emoji23] ila binadamu bhana, eti wana vumbiKinachoniuma ni kwamba wale watembeza vyombo wanakuwa na vumbi la Congo kwenye kidocho [emoji20]
Ila sio fairhahah Mambo ya kuitana shemeji shemeji nani anataka arifu?Watu wanataka wapate utelezi tu.
Aaaah wapi[emoji16][emoji16]Na mimi naomba niwe rafiki ako, ila stokuvua kyupi...pls[emoji4]
Hahaha, Kyupi hakivuluwi ni salamu tuuu[emoji3][emoji3][emoji3]Aaaah wapi[emoji16][emoji16]
Au unahs unaweza jikuta ushavua?[emoji23][emoji23]Aaaah wapi[emoji16][emoji16]
Endelea kujifunza mambo positive kwao, ila hyo K waiache ipumue asee.Ila sio fair
Mi naumia coz nikichagua rafiki mwanaume napata benefits nyingi sana tofauti na ushost[emoji26]
Wanaume Wana mbinu mbalimbali za kukufundisha jinsi ya kuboost kipato, tofauti kabisa na wadada full umbea, sipendi[emoji57]
Ila ndio nae mwanaume anatarget K asee[emoji24][emoji24]
Ha ha ha mna exceptionality aseeUliona wapi Simba na Swala ni marafiki?[emoji23][emoji23][emoji23] Wanaume walivyo wahuni hata Chiku keto pamoja na u Tom Boy lakini kuna wahuni wanampiga ukuni!
Yani me hata mpenzi wangu akiniambia sijui flani ni rafiki tu tunagombana. Rafiki gani mnachati muda wote huyo [emoji23][emoji23][emoji23]! Mkiamka ni goodmorning we ulsikia wapiiii...mkilala ni gud nite hio we uliskia wapii???
Ahaaa haaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Endelea kujifunza mambo positive kwao, ila hyo K waiache ipumue asee.
Aaaah wapi impossible mission hiyoAu unahs unaweza jikuta ushavua?[emoji23][emoji23]
Asa we unadhani na vile huko nyuma umejibeba mie nakuachaje aki? Lazma nichape hio mbota 😂Ha ha ha mna exceptionality asee
Huyu nayewambia katoa altamatum ya jumamosi, ilibidi niokote gongo la kumdunda ili abehave ( tulikuwa yard ya magari so hakukuwa na population) eti nataka nikubebe nikakufiche kule nyuma ya contena[emoji16][emoji16] afu yuko serious
Ha ha ha usipomjua mwanaume kitakachoumia ni via vya uzazi
Hahah pole mkuu na hapo ndipo ule msemo wa men are from mars women are from Venus unapokuja kukamilika sasa.Ila sio fair
Mi naumia coz nikichagua rafiki mwanaume napata benefits nyingi sana tofauti na ushost[emoji26]
Wanaume Wana mbinu mbalimbali za kukufundisha jinsi ya kuboost kipato, tofauti kabisa na wadada full umbea, sipendi[emoji57]
Ila ndio nae mwanaume anatarget K asee[emoji24][emoji24]
Kama umeowa mke mwenye tamaa tutamkopesha tu akishindwa kutulipa pesa atatulipa utamu wakeUshajiuliza nini kitatokea mumewe akijua wewe unamkopesha hela mkewe?
Unakaa wapi mkuu?Rafiki yangu wa karibu alinisimulia, kuna mwanamke jirani alienda kwake usiku saa mbili akamkuta amekaa anaangalia tv.. mazungumzo yalikua hivi:
Mwanamke: nakuona umejipumzisha
Rafiki : Yah, nimechoka sana leo si unajua kazi zetu
Mwanamke: Pole, me nimepita kukusalimia tu acha niende zangu
Rafiki: Sawa ahsante, karibu sana
Mwanamke: Ahsante, sasa hiyo 3000 si unipe mimi
(Kulikua na sh. 3000 juu ya meza)
Rafiki: Hiyo ndio ya kuanzia kesho, sina zaidi ya hiyo.
Mwanamke: sasa mfano wifi yangu akipiga simu akataka hela utafanyaje?
Rafiki: nitamwambia asubiri mpaka nikipata
Mwanamke: mwenzako kesho nina marejesho, na wale wenzangu hawatanielewa nikiwaambia sina.. nipe mimi hiyo 3000
Rafiki: Sasa mimi nikikupa na wewe utanipa nini? Mimi sitaki kukudai
Mwanamke: Kwani wewe unataka nini?
Kilichofuatia nadhani kinaeleweka, yule mwanamke aliondoka pale saa 6 usiku na sh 3000 yake.
Kwaio uwe na kila kitu lakini bado unapenda vitu vya bei poa?Yes. Mimi mpaka sasa nakaa uswahili haswa. Ingawa nina mjengo wangu wa kisasa huko Mvuti. Mimi ukinikuta uswahilini unaweza ukaniona lofa tu nisiye na nyumba , gari au pikipiki but I have all of these. Uswahilini raha vitu bei poa
Kwamba nina marejesho au?
Teh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila sio fair
Mi naumia coz nikichagua rafiki mwanaume napata benefits nyingi sana tofauti na ushost[emoji26]
Wanaume Wana mbinu mbalimbali za kukufundisha jinsi ya kuboost kipato, tofauti kabisa na wadada full umbea, sipendi[emoji57]
Ila ndio nae mwanaume anatarget K asee[emoji24][emoji24]
Soma comment iliopo juu hapoKwamba nina marejesho au?
Juu wapi? Na inahusu nini?Soma comment iliopo juu hapo