Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,726
- 18,241
Walijuana wengine wakagombana kabisaAhahahahaaa.
Vipi walijuana au uliwamaliza kimyakimya?
Nadhani hao waliogombana walitaka wajiweke kwangu permanent
Walijuana wengine wakagombana kabisaAhahahahaaa.
Vipi walijuana au uliwamaliza kimyakimya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rafiki yangu wa karibu alinisimulia, kuna mwanamke jirani alienda kwake usiku saa mbili akamkuta amekaa anaangalia tv.. mazungumzo yalikua hivi:
Mwanamke: nakuona umejipumzisha
Rafiki : Yah, nimechoka sana leo si unajua kazi zetu
Mwanamke: Pole, me nimepita kukusalimia tu acha niende zangu
Rafiki: Sawa ahsante, karibu sana
Mwanamke: Ahsante, sasa hiyo 3000 si unipe mimi
(Kulikua na sh. 3000 juu ya meza)
Rafiki: Hiyo ndio ya kuanzia kesho, sina zaidi ya hiyo.
Mwanamke: sasa mfano wifi yangu akipiga simu akataka hela utafanyaje?
Rafiki: nitamwambia asubiri mpaka nikipata
Mwanamke: mwenzako kesho nina marejesho, na wale wenzangu hawatanielewa nikiwaambia sina.. nipe mimi hiyo 3000
Rafiki: Sasa mimi nikikupa na wewe utanipa nini? Mimi sitaki kukudai
Mwanamke: Kwani wewe unataka nini?
Kilichofuatia nadhani kinaeleweka, yule mwanamke aliondoka pale saa 6 usiku na sh 3000 yake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fungua tu mkuu uisome huku ukiwa unakunywa sharubato na vibanziMkatae aiseeee..mm Kuna mmoja NILIMWAZIMA 60k,Mana alianza na 2kilo.nikamakataaa nikampa 60k BAADA ya wiki moja AKATUMA 40k..... Juz anataka nimuazimishe 150k..... Sms take Hadi leo sijaifungua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fungua tu mkuu uisome huku ukiwa unakunywa sharubato na vibanzi
Sms ya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fungua tu mkuu uisome huku ukiwa unakunywa sharubato na vibanzi
Vibanzi ni kitu gani kwani!?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Fungua tu mkuu uisome huku ukiwa unakunywa sharubato na vibanzi
Mwamba umetishaWalijuana wengine wakagombana kabisa
Nadhani hao waliogombana walitaka wajiweke kwangu permanent
Hapo kwa waha😂Wasalamu wakuu!
Siku hizi wanawake hasa mijini wako busy na michezo ya upatu na VICOBA au Sacco's . Sasa ikifika siku ya marejesho au Kusubmit pesa ya mchezo wanahaha kabisa mpaka wanaanza kujirahisisha kwa wanaume. Kama mnavyojua sisi wanaume wema wetu huishia kujitunukia nyuchi.
Usikubali mke wako au mpenzi wako ajiingize huko. Katika vitu nilivyomkataza wife ni pamoja na kucheza hii michezo au kukopa vitu kwa Waha.
Uko sahihi mkuu.HII NI KWELI KABISA KWA ASILIMIA MIA MOJA....MIMI IMESHANITOKEA NINA BIASHARA YANGU YA HARDWARE KUNA WAKE WATATU WA MTU NIMESHAWALA MPAKA SASA......KILA MMOJA KWA NYAKATI TOFAUTI WALIKOPA PESA ILI WAKAFANYE MAREJESHO ILA NILIPOKUWA NIKIDAI WALIKUWA WAKINIZUNGUSHA NA KUNICHEKEA CHEKEA....NIKACHOMEKA MANENO MATAMU NIKAPEWA MZIGO NIKAWASAMEHE HIZO HELA, ILA WAWILI WAMEENDELEA KUNIZOEA LAKINI MIMI NAWAPOTEZEA.
NILICHOGUNDUA ISHU HAPA SIYO WALA MAMBO YA KIUCHUMI BALI MWANAMKE NI MCHUNGU KUTOA PESA YAKE. ANAWEZA AKAWA NA KIPATO KIZURI ILA BADO AKAWA ANATEGEMEA MTEREMKO.
Hahahah hii inamuhusu huyu mrembo wangu witnessj EspyHII NI KWELI KABISA KWA ASILIMIA MIA MOJA....MIMI IMESHANITOKEA NINA BIASHARA YANGU YA HARDWARE KUNA WAKE WATATU WA MTU NIMESHAWALA MPAKA SASA......KILA MMOJA KWA NYAKATI TOFAUTI WALIKOPA PESA ILI WAKAFANYE MAREJESHO ILA NILIPOKUWA NIKIDAI WALIKUWA WAKINIZUNGUSHA NA KUNICHEKEA CHEKEA....NIKACHOMEKA MANENO MATAMU NIKAPEWA MZIGO NIKAWASAMEHE HIZO HELA, ILA WAWILI WAMEENDELEA KUNIZOEA LAKINI MIMI NAWAPOTEZEA.
NILICHOGUNDUA ISHU HAPA SIYO WALA MAMBO YA KIUCHUMI BALI MWANAMKE NI MCHUNGU KUTOA PESA YAKE. ANAWEZA AKAWA NA KIPATO KIZURI ILA BADO AKAWA ANATEGEMEA MTEREMKO.
Sababu pesa ndio SI Unit ya mapenzi mubashara ✔️Ukweli ndio huo. Afu vidada vyenyewe vilivyo virembo. Tunajipigia tu. Ila kwa nini siku hizi mapenzi yamekuwa rahisi hivi?
Unaulizia mavumbi stoo,,, ni swala la muda tu kabla hujagundua mchezo. 😂😂😂Mkuu mke wangu hua anakopa sana vyombo kwa waha vipi wanaweza kumla kimasihara?
Hahahaah unajiuliza nini kinampa jeuri mwanamke jobless ila anacheza mchezo wa laki 3 kwa mwezi😂Mwanamke yupo yupo tu ila anacheza mchezo wa laki mbili kwa mwezi, hii huwa inanifikirisha saaaana
Wanagongwa maofisiniWake za matajiri hawagegedwi?
Hao waha wanashida gani?Wasalamu wakuu!
Siku hizi wanawake hasa mijini wako busy na michezo ya upatu na VICOBA au Sacco's . Sasa ikifika siku ya marejesho au Kusubmit pesa ya mchezo wanahaha kabisa mpaka wanaanza kujirahisisha kwa wanaume. Kama mnavyojua sisi wanaume wema wetu huishia kujitunukia nyuchi.
Usikubali mke wako au mpenzi wako ajiingize huko. Katika vitu nilivyomkataza wife ni pamoja na kucheza hii michezo au kukopa vitu kwa Waha.
Ushajiuliza nini kitatokea mumewe akijua wewe unamkopesha hela mkewe?Nimegundua hilo suala na mm nina tabia ya kukinai wake wa watu wa karibu yangu sijawai kuwatamani kimapenzi, kashanikopa Mara mbili ila ananirudishia kwa wakati najua ipo siku atashindwa kunilipa maana ni mama wa nyumban tu.
Haya maswala nimegombana na bibie sana. Atleast now amesha secure kazi na anafanya vibiashara kupitia kazini kwa dada yake inani save na ile headache ya kutuma 10K kila siku.Ni kweli wengi wanapigwa KUPITIA hela ya rejesho. .NAHIS HUWA WANAJISIKIA VIBAYA SANA YAAAN AIBU YA HALI YA KIWANGO CHA SGR AKIONEKANA YEYE NDO HAJAPELEKA HELA.... WIFE NILIMWAMBIA ASIJARIBU,ADUNDULIZE YAKE..
Ulichokuwa unawafanyia ni nini mkuu, hebu tupe mbinu ulijihakikishiaje unyevu yani? Ulikuwa unawakopesha au unafanyaje?Walijuana wengine wakagombana kabisa
Nadhani hao waliogombana walitaka wajiweke kwangu permanent