Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

HII NI KWELI KABISA KWA ASILIMIA MIA MOJA....MIMI IMESHANITOKEA NINA BIASHARA YANGU YA HARDWARE KUNA WAKE WATATU WA MTU NIMESHAWALA MPAKA SASA......KILA MMOJA KWA NYAKATI TOFAUTI WALIKOPA PESA ILI WAKAFANYE MAREJESHO ILA NILIPOKUWA NIKIDAI WALIKUWA WAKINIZUNGUSHA NA KUNICHEKEA CHEKEA....NIKACHOMEKA MANENO MATAMU NIKAPEWA MZIGO NIKAWASAMEHE HIZO HELA, ILA WAWILI WAMEENDELEA KUNIZOEA LAKINI MIMI NAWAPOTEZEA.

NILICHOGUNDUA ISHU HAPA SIYO WALA MAMBO YA KIUCHUMI BALI MWANAMKE NI MCHUNGU KUTOA PESA YAKE. ANAWEZA AKAWA NA KIPATO KIZURI ILA BADO AKAWA ANATEGEMEA MTEREMKO.
Subiri kufilisika
 
Havina uhusiano
Hivi tunaposema risk factor ya mtu kupata prostate cancer ni umri mkubwa huwa tunamaanisha nini?..Sio kwamba ukishakuwa na umri mkubwa basi utapata prostate ca,no,ila wanaopata wengi umri umeenda

Ni the same same na kusema"risk factor mojawapo ya mke kugongwa nje ni ufukara wa mumewe or both of them"
 
Sio kweli
 
Ni kweli mtupu hivi Vicoba vinatoa stress kwa wanawake bila kusahau utapeli wa wengine, anayekosa hela ya rejesho lazima adange
Ni kweli wengi wanapigwa KUPITIA hela ya rejesho. .NAHIS HUWA WANAJISIKIA VIBAYA SANA YAAAN AIBU YA HALI YA KIWANGO CHA SGR AKIONEKANA YEYE NDO HAJAPELEKA HELA.... WIFE NILIMWAMBIA ASIJARIBU,ADUNDULIZE YAKE..
 
Kuna mke wa rafk yangu skuiz kaanza kuniomba nimkopeshe hela ya rejesho alaf badae ananirudishia huko tunapo elekea sijui kama kutakua salama
Mkatae aiseeee..mm Kuna mmoja NILIMWAZIMA 60k,Mana alianza na 2kilo.nikamakataaa nikampa 60k BAADA ya wiki moja AKATUMA 40k..... Juz anataka nimuazimishe 150k..... Sms take Hadi leo sijaifungua
 
Back
Top Bottom