Hela ya mchezo na marejesho ndio chanzo cha wadada wengi kuliwa kiulaini siku hizi

Usijaribu hata kidogo hivivikundi vimekuwa machungu kwa wanawake wengi wana stress tu na mbaya mtu ana kopa kwa matumizi yasiyo zalisha matokeo ni kuumia
Mmoja kanichekesha sana. Aliniomba nimkopeshe laki mbili atengeneze banda la uwakala ili akakope huko kwenye vikoba million 2. Akanionyesha daftari lake la kwanza alilokopa mil.na laki 8 na kumaliza marejesho. Sasa nilitaka kumuuliza mkopo wa kwanza alifanyia nini nikampotezea.
 
Inafikirisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio wote mkuu,Wapo wanaojiweza kiuchumi lakini ni chupi mkononi ni tabia ya mtu tu.
Binafsi nimeshaona wengi wanacheza kwa hela ndogo tu kwa wiki ila siku ya kugawana ni kibunda cha maana.
Kibunda cha maana kinatoka wapi wkt wanaweka hela ndogo.?
 
haina part 2 mkuu?
 
Wewe kumbe unawajua mkuu. Wanawake wengi wao ni wachungu sana kutoa hela yao kuliko kutoa K
 
huna akili, unajisifu kulala na wake za watu, kiroho umeshajichimbia kaburi na umeshakufa, bado mwili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…