samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Mi sio bibie we demuMimi sio rage, acha kushikiwa akili bibie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sio bibie we demuMimi sio rage, acha kushikiwa akili bibie
Kutoruhusu asinunue 100% ni incase mmiliki kafirisika. Unaesema hawez rudisha faida unajidanganya. Simba ina mashabiki wengi sana si Tanzania tu hata nchi jirani. Amini usiamini hiyo billion 20 atairudisha in one year. Akiuza jezi Million 5 kila jezi elfu 15,00 mara miaka 5 ni sh ngapi? Get collection mechi zote nje na ndani na nje ya nchi. Akatangaza biashara yake kupitia jezi ya simba. Naona hata hiyo billion 20 kapewa tu zawadi
povuInakuhusu nini wewe mpaka uhoji? Wakati timu inatembeza bakuli nyakati za njaa, uliwahi kuchangia senti ngapi? Mabadiliko ni ya Simba, yanga unapiga kelele kwa uhalali upi hasa?! Rekebisheni nyumba yenu huku hakuwahusu!
Yellow and Green pants katika fikra zakeBiashara gani ipo Simba yenye mashabiki kidogo sana Tanzania kuliko Yanga itakayoweza kurudisha fedha za muwekezaji zaidi ya kupanga matokeo ya mechi za Simba ndani na nje ya nchi?
Kamali inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato ya muwekezaji wa Simba.
Tusishangilie sana kwa sasa ni mapema mno.
Kamwombe MO business plan yake usihoji upupu hapaMahaba tu hayo, kwa skili yako ni biashara gani ndani ya Simba inayoweza kugharamia yale yote aliyoyaahidi MO Simba? Mashiki wangapi Simba wanaweza Kununua jezi original ya Simba? Viingilio uwanjani washabiki wanasubiri mechi ya Simba na Yanga tu, kwa mechi nyingine wanaangalia kwenye luninga.
Mahaba tu hayo, kwa skili yako ni biashara gani ndani ya Simba inayoweza kugharamia yale yote aliyoyaahidi MO Simba? Mashiki wangapi Simba wanaweza Kununua jezi original ya Simba? Viingilio uwanjani washabiki wanasubiri mechi ya Simba na Yanga tu, kwa mechi nyingine wanaangalia kwenye luninga.
😀😀Tutakujakutana hapahapa, hakuna mhindi mpumbavu hata siku moja.
Azam ile ya wakati wa ukwepaji kodi ni tofauti kabisa na Azam hii ya awamu ya tano.mkuu pole sana tena sana hujuwi biashara Azam tv anapiga sana pesa kisa Vpl tena kwa SIMBA na YANGA tu
wewe na MO nani mfanyabiashara
mwenzio anafanikiwa kwenye business
ndio mijitu yenye ngozi nyeusi tunadharau pesa yenye thamani ndogondogo sana bila kujua ndio inaleta mipesa yenye thamani
kamuulize Mzee Bakheresa je Azamsports club inakupa faida au hasara then rudi hapa
Tofautisha kipindi kile cha biashara ya madawa ya kulevya na ukwepaji kodi mkubwa na sasa. Wewe na umbumbumbu wako unadhani kuwa walikuwa wanadhamini "bure", my friend, there is no free lunch under the moon, wao wanajuwa sana walichokuwa wanakipata kwa kudhamini 'bure' vilabu kubwa kama Yanga na Simba.Wewe ndio unasema. Watu wanashangaza sana. Badala ya kujiuliza mtu anayetoa pesa na kuihudumia timu kama Manji bila manufaa yoyote ya wazi kwa nini afanye hivyo, wanahoji mtu anayesema anataka kuwekeza.
Tulipaswa kuwa makini kipindi kile mtu anatoa pesa bure, sio wakati huu wa kuwekeza
KAMA HUJUI KITU NI BORA UNYAMAZE! UMEONYESHA KICHWANI HUNA KITU.WEWE HUONI FAIDA ITATOKA WAPI? JEZI TU NI HELA ZA KUMWAGA!!!! HII NCHI BADO TUNA MBUMBUMBU WENGI SANA!!!Biashara gani ipo Simba yenye mashabiki kidogo sana Tanzania kuliko Yanga itakayoweza kurudisha fedha za muwekezaji zaidi ya kupanga matokeo ya mechi za Simba ndani na nje ya nchi?
Kamali inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato ya muwekezaji wa Simba.
Tusishangilie sana kwa sasa ni mapema mno.
Kujenga viwanja viwili vya kisasa, kufanya usajili wa wachezaji wa kisasa kabisa wanaoweza kuifunga Yanga wakati wowote, kulipa mishahara ya wachezaji hao kila mwezi, kujenga gym, kujenga hostels za kisasa, kulisha wachezaji, kutibu wachezaji na kusafirsha timu wewe unadhani inaweza kuwa hela ngapi? Purchasing power ya mashabiki wa simba unaijua? wenye uwezo wa kununua zitakazokuwa bidhaa bora original za club wanaweza kuwa wangapi?. Watakaoacha kutumia/kununua bidhaa nyingine na kuvutika kutumia bidhaa za MO (juice, sabuni, na bidhaa nyingine za MO Limited) kwasababu tu MO ndiye mdhamini wa club yao na kuacha biadhaa nyingine zinazofanana au kuzidi kwa ubora bidhaa za MO ni wangapi?KAMA HUJUI KITU NI BORA UNYAMAZE! UMEONYESHA KICHWANI HUNA KITU.WEWE HUONI FAIDA ITATOKA WAPI? JEZI TU NI HELA ZA KUMWAGA!!!! HII NCHI BADO TUNA MBUMBUMBU WENGI SANA!!!
Jezi Original bongobongo ni 35,000Kujenga viwanja viwili vya kisasa, kufanya usajili wa wachezaji wa kisasa kabisa wanaoweza kuifunga Yanga wakati wowote, kulipa mishahara ya wachezaji hao kila mwezi, kujenga gym, kujenga hostels za kisasa, kulisha wachezaji, kutibu wachezaji na kusafirsha timu wewe unadhani inaweza kuwa hela ngapi? Purchasing power ya mashabiki wa simba unaijua? wenye uwezo wa kununua zitakazokuwa bidhaa bora original za club wanaweza kuwa wangapi?. Watakaoacha kutumia/kununua bidhaa nyingine na kuvutika kutumia bidhaa za MO (juice, sabuni, na bidhaa nyingine za MO Limited) kwasababu tu MO ndiye mdhamini wa club yao na kuacha biadhaa nyingine zinazofanana au kuzidi kwa ubora bidhaa za MO ni wangapi?
Tofautisha kipindi kile cha biashara ya madawa ya kulevya na ukwepaji kodi mkubwa na sasa. Wewe na umbumbumbu wako unadhani kuwa walikuwa wanadhamini "bure", my friend, there is no free lunch under the moon, wao wanajuwa sana walichokuwa wanakipata kwa kudhamini 'bure' vilabu kubwa kama Yanga na Simba.
Waeleze ili uwatoe hofu wanachama wa Simba wenzio sio mimi. Mimi ninafahamu ninachokiongea.Jezi Original bongobongo ni 35,000
Kumbuka team ikifanya vizuri kwa usajili mzuri wanapa mpunga kila hatua ya kimataifa,mo atatangaza kampuni yake kwenye jezi za Simba kuna vinywaji vitatumika kwa nembo za simba pia
Kuna skafu
Bangili za mkono vitauzwa kwa nembo za Simba
Tatizo wabongo tunachukulia poa sana business
Fanya Mo katengeneza jezi akauza kwa 30,000*2000000 kwa watu milion 2 atapata kiasi gani?