Hela ya mwekezaji Simba itarudi kwa kuuza mechi Yanga, Azam

Hili suala linawauma sana, ila hamna namna, inabidi mvumilie tu. Uamuzi umeshafanywa. Kila mtu ahangaike kujenga malazi yake. Endeleeni kumbembeleza huwenda akarudi na wazo lake la kupangisha. Ya msimnazi yatawaumiza tu vichwa.[HASHTAG]#kataenikuwangadu[/HASHTAG].
 
Kila mtu apambane na hali yake hata nyinyi yeboyebo si vibaya kuiga mfumo wa simba badilikeni acheni kurukaruka kama maharage
 
Kutoruhusu asinunue 100% ni incase mmiliki kafirisika. Unaesema hawez rudisha faida unajidanganya. Simba ina mashabiki wengi sana si Tanzania tu hata nchi jirani. Amini usiamini hiyo billion 20 atairudisha in one year. Akiuza jezi Million 5 kila jezi elfu 15,00 mara miaka 5 ni sh ngapi? Get collection mechi zote nje na ndani na nje ya nchi. Akatangaza biashara yake kupitia jezi ya simba. Naona hata hiyo billion 20 kapewa tu zawadi
 
Wewe ndio unasema. Watu wanashangaza sana. Badala ya kujiuliza mtu anayetoa pesa na kuihudumia timu kama Manji bila manufaa yoyote ya wazi kwa nini afanye hivyo, wanahoji mtu anayesema anataka kuwekeza.

Tulipaswa kuwa makini kipindi kile mtu anatoa pesa bure, sio wakati huu wa kuwekeza
 
Biashara gani ipo Simba yenye mashabiki kidogo sana Tanzania kuliko Yanga itakayoweza kurudisha fedha za muwekezaji zaidi ya kupanga matokeo ya mechi za Simba ndani na nje ya nchi?

Kamali inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato ya muwekezaji wa Simba.

Tusishangilie sana kwa sasa ni mapema mno.
Yellow and Green pants katika fikra zake
 
Mahaba tu hayo, kwa skili yako ni biashara gani ndani ya Simba inayoweza kugharamia yale yote aliyoyaahidi MO Simba? Mashiki wangapi Simba wanaweza Kununua jezi original ya Simba? Viingilio uwanjani washabiki wanasubiri mechi ya Simba na Yanga tu, kwa mechi nyingine wanaangalia kwenye luninga.
Kamwombe MO business plan yake usihoji upupu hapa
 
Mahaba tu hayo, kwa skili yako ni biashara gani ndani ya Simba inayoweza kugharamia yale yote aliyoyaahidi MO Simba? Mashiki wangapi Simba wanaweza Kununua jezi original ya Simba? Viingilio uwanjani washabiki wanasubiri mechi ya Simba na Yanga tu, kwa mechi nyingine wanaangalia kwenye luninga.

mkuu pole sana tena sana hujuwi biashara Azam tv anapiga sana pesa kisa Vpl tena kwa SIMBA na YANGA tu

wewe na MO nani mfanyabiashara
mwenzio anafanikiwa kwenye business

ndio mijitu yenye ngozi nyeusi tunadharau pesa yenye thamani ndogondogo sana bila kujua ndio inaleta mipesa yenye thamani

kamuulize Mzee Bakheresa je Azamsports club inakupa faida au hasara then rudi hapa
 
Azam ile ya wakati wa ukwepaji kodi ni tofauti kabisa na Azam hii ya awamu ya tano.
 
Wewe ndio unasema. Watu wanashangaza sana. Badala ya kujiuliza mtu anayetoa pesa na kuihudumia timu kama Manji bila manufaa yoyote ya wazi kwa nini afanye hivyo, wanahoji mtu anayesema anataka kuwekeza.

Tulipaswa kuwa makini kipindi kile mtu anatoa pesa bure, sio wakati huu wa kuwekeza
Tofautisha kipindi kile cha biashara ya madawa ya kulevya na ukwepaji kodi mkubwa na sasa. Wewe na umbumbumbu wako unadhani kuwa walikuwa wanadhamini "bure", my friend, there is no free lunch under the moon, wao wanajuwa sana walichokuwa wanakipata kwa kudhamini 'bure' vilabu kubwa kama Yanga na Simba.
 
Biashara gani ipo Simba yenye mashabiki kidogo sana Tanzania kuliko Yanga itakayoweza kurudisha fedha za muwekezaji zaidi ya kupanga matokeo ya mechi za Simba ndani na nje ya nchi?

Kamali inaweza kuwa chanzo kikuu cha mapato ya muwekezaji wa Simba.

Tusishangilie sana kwa sasa ni mapema mno.
KAMA HUJUI KITU NI BORA UNYAMAZE! UMEONYESHA KICHWANI HUNA KITU.WEWE HUONI FAIDA ITATOKA WAPI? JEZI TU NI HELA ZA KUMWAGA!!!! HII NCHI BADO TUNA MBUMBUMBU WENGI SANA!!!
 
Kujenga viwanja viwili vya kisasa, kufanya usajili wa wachezaji wa kisasa kabisa wanaoweza kuifunga Yanga wakati wowote, kulipa mishahara ya wachezaji hao kila mwezi, kujenga gym, kujenga hostels za kisasa, kulisha wachezaji, kutibu wachezaji na kusafirsha timu wewe unadhani inaweza kuwa hela ngapi? Purchasing power ya mashabiki wa simba unaijua? wenye uwezo wa kununua zitakazokuwa bidhaa bora original za club wanaweza kuwa wangapi?. Watakaoacha kutumia/kununua bidhaa nyingine na kuvutika kutumia bidhaa za MO (juice, sabuni, na bidhaa nyingine za MO Limited) kwasababu tu MO ndiye mdhamini wa club yao na kuacha biadhaa nyingine zinazofanana au kuzidi kwa ubora bidhaa za MO ni wangapi?
 
Jezi Original bongobongo ni 35,000

Kumbuka team ikifanya vizuri kwa usajili mzuri wanapa mpunga kila hatua ya kimataifa,mo atatangaza kampuni yake kwenye jezi za Simba kuna vinywaji vitatumika kwa nembo za simba pia
Kuna skafu
Bangili za mkono vitauzwa kwa nembo za Simba

Tatizo wabongo tunachukulia poa sana business

Fanya Mo katengeneza jezi akauza kwa 30,000*2000000 kwa watu milion 2 atapata kiasi gani?
 
Tofautisha kipindi kile cha biashara ya madawa ya kulevya na ukwepaji kodi mkubwa na sasa. Wewe na umbumbumbu wako unadhani kuwa walikuwa wanadhamini "bure", my friend, there is no free lunch under the moon, wao wanajuwa sana walichokuwa wanakipata kwa kudhamini 'bure' vilabu kubwa kama Yanga na Simba.

Bahati mbaya sijui kutukana kama wewe usiye na breki ya maneno.
Kuwa makini siku nyingine, jifunze kuwasilisha ujumbe bila kuvunja heshima ya mtu.
Pili usidandie hoja kama hujailewa vizuri, mimi nahoji kwa mtu makini alipaswa kuhoji kipindi kile watu wanafanya ufadhili, sio kipindi hiki watu wanawekeza. Huu ni mfumo ulio wazi mtu anatoa sh 10 anategemea kupata sh 15, usichokielewa ni nini?
 
Sema waswahili tunagubu sana,hivi mo kuchukua timu ama kutochukua sisi mashabiki tunafaidika na ama tuna hasara na nini!?unakuta shabiki wa yanga anabeza mabadiliko kisa tu yamefanywa na simba muulize yeye ni kitu gani anafaidi huko yanga,atakwambia ubingwa Mara tatu!!!so what!?ubingwa unakusaidia nini kama msimu tu unaofaata baada ya ubingwa wako unashindwa hata kuwalipa mishahara wachezaji!!simba imeshakuwa kampuni that's all
 
Jezi Original bongobongo ni 35,000

Kumbuka team ikifanya vizuri kwa usajili mzuri wanapa mpunga kila hatua ya kimataifa,mo atatangaza kampuni yake kwenye jezi za Simba kuna vinywaji vitatumika kwa nembo za simba pia
Kuna skafu
Bangili za mkono vitauzwa kwa nembo za Simba

Tatizo wabongo tunachukulia poa sana business

Fanya Mo katengeneza jezi akauza kwa 30,000*2000000 kwa watu milion 2 atapata kiasi gani?
Waeleze ili uwatoe hofu wanachama wa Simba wenzio sio mimi. Mimi ninafahamu ninachokiongea.

Wamiliki wa timu siku zote hawana tabia ya kuwasikiliza mashabiki, bali wanachoangalia ni faida na hasara tu hata kama timu ikifanya vibaya. Pale Arsenal kama mashabiki wangekuwa na thamani basi mmiliki wa timu angeshamfukuza Arsene Wenger. Lakini ni kati ya timu ambazo hazina madeni na zinazotengeneza faida Ulaya kuliko timu nyingine. Kama kwa Simba kufungwa na Lipuli kutasababisha mapato mengi kwa mliki wa club basi Simba lazima ifungwe na Lipuli ikibidi (mikeka itachanika siku hiyo). Hivyo mfumo huu una uzuri lakini una ubaya wake hasa kwa mashabiki wa club.
 
Back
Top Bottom