🤣🤣Mbona marekani wanafanya hivo kaka na hakuna shida sema labda Haina wewe kaka
Marekani ipi!? Ya Bonyokwa au!?Mbona marekani wanafanya hivo kaka na hakuna shida sema labda Haina wewe kaka
Naandaa Zimbabwe......Roma MkatolikiHizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa yoyote kama kawaida ya wabongo. Watu wanachezea minoti ya shilingi kumi kumi kama wamevurugwa hivi, kana kwamba ni jambo la kawaida, wakijinadi kwa mabulungutu ya noti hizo kwenye sherehe, shughuli mbalimbali, huku ma-influencer, machawa, content creators, forex traders na wengine wakitembea na mabegi yaliyojaa noti kwenye magari kama kawaida yao.
Hata hivyo, licha ya mbwembwe zote hizo, uhalisia wa maisha mtaani ni mgumu. Watu wana noti nyingi za shilingi elfu kumi, lakini hazifanyi jambo lolote la maana. Hata ukiwa na laki moja au laki tano, ukiingia sokoni haziwezi kukupatia vitu vingi vya maana.
Aisee, tukubali tukatae, hela ya Tanzania haina thamani tena. Watu wanazidi kujaza makaratasi kwenye mabegi, lakini hayana thamani yoyote kwa
sasa.
Kwamba ukipandisha mishahara thamani itaongezeka!? Hizo ni issues mbili tofauti, Hela ya Tanzania haina thamani na bado mishahara ya wafanyakazi ipo chini.thamani bado ipo japo kwa kidogo sana isipokua imeathiriwa zaidi na udumavu wa ujira wa mtu mmoja mmoja..Malipo ya raia wa Tanzania yalitakiwa yaongezeke katika Kila sekta ili yaendane na mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali muhimu ulioikumba Dunia na Tanzania kwa ujumla.
Sasa wew kama bado unalipwa laki nne na haijapanda wakati huohuo mafuta yamepanda bei na nauli na vyakula vimepanda wht do you expect??..Serikali haramu haitufai
Over
Hii inakuja muda si mrefuHali hii ikiendelea, sitashangaa serikali ya ccm ikija na wazo la kuchapicha noti ya elfu 20 na elfu 50!
Tayari ipo BongoNaandaa Zimbabwe......Roma Mkatoliki
Upo sahihi, lakini mbona kuipata hiyo 10 pia ni shida mkuu?Tayari ipo Bongo
Basi hela hamna na haina thamani.Upo sahihi, lakini mbona kuipata hiyo 10 pia ni shida mkuu?
Wasomi watafuta teuzi haoTuna wachumi washenzi na wapumbavu.kila siku wanadai hela yetu kushuka thamani ndiyo eti uchumi kupanda
Mkuu kitu adim s ndio kina thamani??Basi hela hamna na haina thamani.
Elfu 10!? Zipo mtaaniMkuu kitu adim s ndio kina thamani??
Nacho maanisha mimi, mbona hyo elfu 10 pia kuipata ni shida sana mkuu?