Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Bado hamjakubali matokeo tu? Uchaguzi umekwisha na sasa hivi ni utekelezaji wa azimio la mkutano mkuu la No Reform No Election. Mbowe mwenyewe hana maneno anaangalia watu aliowakabidhi chama wanavyotekeleza maazimio ya mkutano mkuu, huu uchochezi mnaoleta hauna nafasi.Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?
Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe?
Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu gia hii kumchafua Mbowe ili aingie Madarakani?
Hawa siyo Timu Mbowe (FAM), ni CCM wanahangaikaBado hamjakubali matokeo tu? Uchaguzi umekwisha na sasa hivi ni utekelezaji wa azimio la mkutano mkuu la No Reform No Election. Mbowe mwenyewe hana maneno anaangalia watu aliowakabidhi chama wanavyotekeleza maazimio ya mkutano mkuu, huu uchochezi mnaoleta hauna nafasi.
Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?
Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe?
Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu gia hii kumchafua Mbowe ili aingie Madarakani?
Well said.Waliokula pesa za Abdul wote washatoswa Sasa kuangaikanao wa Nini?
Lissu yupo busy na Mambo ya kitaifa, mafisadi chadema yatakimbia yenyewe
Mbona unateseka? Lisu ndiye mwenyekitiMbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?
Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe?
Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu gia hii kumchafua Mbowe ili aingie Madarakani?
🚮🚮🚮Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?
Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe?
Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu gia hii kumchafua Mbowe ili aingie Madarakani?
Lisu ni muhuni mkubwa! Mwanasiasa niliyempnda sana tena sana. lakini kumbe ni hao hao wahuni wa iasa!Mbona Lissu kapoa sana siku hizi kuhusu hizi hela?
Mimi nilijua akiingia madarakani atatuonyesha kwa Vitendo namna anavyochukia Rushwa kwa kuwachukulia hatua waliopokea ndani ya Chama au kaamua kuwasamehe?
Mbowe alisema Time will tell au muda ndiyo unasema sasa kuwa Lissu ni Muhuni alitumia tu gia hii kumchafua Mbowe ili aingie Madarakani?
Hapana, kwanza nakanusha uwepo wa kitu TEAM FAM. WE all are/were Chadema as a unity inseperable! Tatizo lilianzia pale Lisu alipompakazia UONGO MFAM na kutoka kwenye ustaarabu wa Chadema! Nilimdharau sana Lisu mpaka milele!Alafu dizain kuna ile timu ya FAM ni kama wamejitenga hivi,hawaoneshi ushirikiano,,,wanamuangalia waone yeye Lissu na timu yake Heche na Lema wana jipya gani ?
Ukiambiwa utaje yale ambayo Lissu amempakazia uongo FAM wakati wa kamapeni unabaki kukasirika na kutoa maneno ya ovyo ovyo, umebaki mpiga kelele bila vielelezo.Hapana, kwanza nakanusha uwepo wa kitu TEAM FAM. WE all are/were Chadema as a unity inseperable! Tatizo lilianzia pale Lisu alipompakazia UONGO MFAM na kutoka kwenye ustaarabu wa Chadema! Nilimdharau sana Lisu mpaka milele!
I am trying to imgine hali ingelikuaje kama Mbowe angelikuwa anaambatana na Lisu kumnadi/kumpeleka kwao Ikungi and the like!
Naombea Lisu ashindwe na alegee katika harakati za kuwabagaza wenzake.
Lisu ni mzuri kwa harakati, mengine hana sifa nayo. Let us wait and see!
Kumbe chadema kuna mafisadi.Waliokula pesa za Abdul wote washatoswa Sasa kuangaika nao wa Nini?
Lissu yupo busy na Mambo ya kitaifa, mafisadi chadema yatakimbia yenyewe
Hata wewe ni fisadi mmeo akikuachia pesa ya mboga unaiba unapeleka kwenye mchezoKumbe chadema kuna mafisadi.
Huna akili.Hata wewe ni fisadi mmeo akikuachia pesa ya mboga unaiba unapeleka kwenye mchezo
Ufisadi upo kila sehemu njia ya kuepuka ni kuwadhibiti wasipate uongozi na mamlaka ya kufanya maamuzi
Shida siasa ni mchezo mchafu sana. usimwamini mwana siasa yeyote linapokuja suala la kusaka madarakaLisu ni muhuni mkubwa! Mwanasiasa niliyempnda sana tena sana. lakini kumbe ni hao hao wahuni wa iasa!
Narudia, it was not rigt aliyombagaza Mbowe kwa Uongo ili apate madaraka yasiyo na lolote (san sana mateso yanamsubiri)
View: https://youtu.be/rxUco3lnjq0