Hela zimesharudi mtaani?

Hela zimesharudi mtaani?

Ukweli ni kuwa, mzunguko umekuwa mdogo zaidi kuliko hata kipindi cha JPM.
Hii ni kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma. Mambo yamekuwa magumu zaidi.
Hakuna hela yeyote.
Mzunguko upo na hakuna anayelalamika kuchangia hizo TOZO
tunachotaka ni AMANI Mama yetu kairudisha ndio maana hata humu JF watu hatuandamwi tena
Bado Mitaani hata Vyama vya upinzani vina nyodo sasa
Wakati wa Mwendazake hao wanaoandamana wangethubutu
Bora Mwendazake kaondoka na sukumagang yake
 
Mkuu upo Tanzania kweli? Umesikia alichosema sirro leo? Kilichotokea Jana mbeya? Kesi ya mbowe?
 
Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani.

Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu.

Vipato vya wananchi wake ni vya chini sana. Si nchi nyingi ambazo nchi yetu imezipita kwa vipato vya wananchi.

Na tumekuwa nchi ambayo wananchi wake ni wa kipato cha chini tokea tuwe taifa na nina uhakika kabla hata ya kuwa taifa.

Lakini katika utawala uliopita tuliaminishwa mzunguko wa hela umebanwa na hivyo kupelekea kutokea upungufu wake mtaani/ mitaani.

Baada ya kumpata huyu Rais wetu mpya, aliye mpole na msikivu, mwenye kuongea Kiingereza kizuri kabisa 😉, tukaambiwa sasa mzunguko wa hela utarudi na hela zitakuwepo mtaani kama ilivyokuwa kabla ya kuja kwa dikteta Magufuli!

Sasa niaje raia? Mama kesharudisha hayo mahela mitaani?

Kama hayo mahela yamesharudi mitaani kwa nini mnalialia kuhusu vijitozo vya shilingi 100 mtumapo hela kwenye Em Pesa?

Kwa mnaojua hayo mahela yalipo, msiwe wachoyo. Tauambieni na sie wengine tuje tuyaokote bana.

Vilivyo vizuri kuleni na sie ndugu zenu.

Tuendelee kuupiga mwingi 😉.
Mkuu ajira sasa hivi ziko bwerer mtaani hakuna graduate anauekosa ajira labda utake maenyewe kutoka ajira. Na hii ndo hukuza mzunguko kupitia mishahra. Sasa dictator magufuli alikuwa anawaua vijana kwa kujustify eti unemployment ni swala la dunia. Mbona samia kaweza? Wawekezaji wamekuwa wengi na ajira siyo za kuspeculate tena bari zipo nyingi na wanavyuo ndicho tulivhikuwa tunataka na siyo madaraja na madege ambayo ajira ni finyu sana. Ila jpm alivhoweza no propaganda na uongo mwingi. Nakumbuka akiajiri tu watu elfu moja kelele zinakuwa nyingi mpaka maredioni kwamba serikali yamwaga ajira.

Kuna kipindi alitupiga fix kuwa anaajiri walimu elfu 13 kumbe hata elfu mbili hawakufika ispokuwa majina yalijirudia rudia tu na waliokwisha ajiriwa majina yakaonekana tena.

Yule baba kwa fix alikiwa bingwa sana yaani ki ukweli nchi ilikuwa inaendeshwa kwa uongo na fix nyingi na vyombo vya habari kimya ukithibutu unapewa kesi ya ugaidi kama alivyopewa kabendera.

Kuna wakati alitupiga fix pia tumeingia uchumi wa kati wakati hata uchumi wa nyuma hatumo bali nyuma zaidi. Pili akatwambia miradi inajengwa kwa pesa ya ndani ambapo CAG alikanisha hilo na kisema kipindi cha jpm madeni yamekuwa mara tano zaidi.

Yule baba yule najuta kumjua hakuwa mtu alikuwa sheitwani
 
Duh!

Kweli?
Kabisa aisee leo nimekaa tu mpaka akaja jamaa mmoja Rasta akawa anasema Dar itamshinda bora aondoke hapa nchini au atoke akaishi mikoani huko maana hali mbaya kias karibu mwezi sasa hajapata hela ya maana yakueleweka.
 
Mkuu ajira sasa hivi ziko bwerer mtaani hakuna graduate anauekosa ajira labda utake maenyewe kutoka ajira. Na hii ndo hukuza mzunguko kupitia mishahra. Sasa dictator magufuli alikuwa anawaua vijana kwa kujustify eti unemployment ni swala la dunia. Mbona samia kaweza? Wawekezaji wamekuwa wengi na ajira siyo za kuspeculate tena bari zipo nyingi na wanavyuo ndicho tulivhikuwa tunataka na siyo madaraja na madege ambayo ajira ni finyu sana. Ila jpm alivhoweza no propaganda na uongo mwingi. Nakumbuka akiajiri tu watu elfu moja kelele zinakuwa nyingi mpaka maredioni kwamba serikali yamwaga ajira.

Kuna kipindi alitupiga fix kuwa anaajiri walimu elfu 13 kumbe hata elfu mbili hawakufika ispokuwa majina yalijirudia rudia tu na waliokwisha ajiriwa majina yakaonekana tena.

Yule baba kwa fix alikiwa bingwa sana yaani ki ukweli nchi ilikuwa inaendeshwa kwa uongo na fix nyingi na vyombo vya habari kimya ukithibutu unapewa kesi ya ugaidi kama alivyopewa kabendera.

Kuna wakati alitupiga fix pia tumeingia uchumi wa kati wakati hata uchumi wa nyuma hatumo bali nyuma zaidi. Pili akatwambia miradi inajengwa kwa pesa ya ndani ambapo CAG alikanisha hilo na kisema kipindi cha jpm madeni yamekuwa mara tano zaidi.

Yule baba yule najuta kumjua hakuwa mtu alikuwa sheitwani
Duh!

Ghafla Tanzania imekuwa na neema bwerere!
 
Ajira bwerere? graduate atake mwenyewe kukosa ajira?
Wenzetu nyie mpo Tanzania hii hii au kuna nyingine?
 
Duh!

Ghafla Tanzania imekuwa na neema bwerere!
Kuna watu ni Kama wapo usingizini aisee, kabisa anasema Sasa hivi ajira bwerere tu eti graduate aamue mwenyewe kukosa ajira, hata huko dunia ya kwanza hawajafikia hio hatua[emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi ngumu sana hii
 
Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani.

Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu.

Vipato vya wananchi wake ni vya chini sana. Si nchi nyingi ambazo nchi yetu imezipita kwa vipato vya wananchi.

Na tumekuwa nchi ambayo wananchi wake ni wa kipato cha chini tokea tuwe taifa na nina uhakika kabla hata ya kuwa taifa.

Lakini katika utawala uliopita tuliaminishwa mzunguko wa hela umebanwa na hivyo kupelekea kutokea upungufu wake mtaani/ mitaani.

Baada ya kumpata huyu Rais wetu mpya, aliye mpole na msikivu, mwenye kuongea Kiingereza kizuri kabisa 😉, tukaambiwa sasa mzunguko wa hela utarudi na hela zitakuwepo mtaani kama ilivyokuwa kabla ya kuja kwa dikteta Magufuli!

Sasa niaje raia? Mama kesharudisha hayo mahela mitaani?

Kama hayo mahela yamesharudi mitaani kwa nini mnalialia kuhusu vijitozo vya shilingi 100 mtumapo hela kwenye Em Pesa?

Kwa mnaojua hayo mahela yalipo, msiwe wachoyo. Tauambieni na sie wengine tuje tuyaokote bana.

Vilivyo vizuri kuleni na sie ndugu zenu.

Tuendelee kuupiga mwingi 😉.
Ni makosa makubwa sana kumtenganisha dikteta Magufuli na dikteta Miss utalii Samia! Samia bado anaendeleza pale pale alipoishia Magufuli!
 
Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani.

Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu.

Vipato vya wananchi wake ni vya chini sana. Si nchi nyingi ambazo nchi yetu imezipita kwa vipato vya wananchi.

Na tumekuwa nchi ambayo wananchi wake ni wa kipato cha chini tokea tuwe taifa na nina uhakika kabla hata ya kuwa taifa.

Lakini katika utawala uliopita tuliaminishwa mzunguko wa hela umebanwa na hivyo kupelekea kutokea upungufu wake mtaani/ mitaani.

Baada ya kumpata huyu Rais wetu mpya, aliye mpole na msikivu, mwenye kuongea Kiingereza kizuri kabisa [emoji6], tukaambiwa sasa mzunguko wa hela utarudi na hela zitakuwepo mtaani kama ilivyokuwa kabla ya kuja kwa dikteta Magufuli!

Sasa niaje raia? Mama kesharudisha hayo mahela mitaani?

Kama hayo mahela yamesharudi mitaani kwa nini mnalialia kuhusu vijitozo vya shilingi 100 mtumapo hela kwenye Em Pesa?

Kwa mnaojua hayo mahela yalipo, msiwe wachoyo. Tauambieni na sie wengine tuje tuyaokote bana.

Vilivyo vizuri kuleni na sie ndugu zenu.

Tuendelee kuupiga mwingi [emoji6].
Mbona siku hizi umekuwa na mawazo ya kipumbavu sana? Kuna wakati nilikuwa nakuona a great thinker kwelikweli...lakini siku hizi.. mhuu..

Kwa taarifa yako,huku hela zimeanza kuongezeka mitaani. Benki zimeongeza utoaji mikopo,riba zimepunguzwa na serikali imeongeza spending kwenye infrastructure. Rudi nyumbani kumenoga.
 
Bank gani imepunguza riba niende? Wenzetu mpo Tanzania kweli?
 
Pesa mtaani imeingia kupitia ajira za walimu na afya,kupandisha madaraja watumishi wa umma,leo vibanda vyetu vilivyoishia kwenye rinta wakati wa mwendazake vinakwenda kukamilika.mama yupo vizuri Sana.SGR inakamilishwa kwa kasi, kubwa .2025 mama tutakuibia kura Tena Kama tulivyokubaliana mwendazake.
 
Wewe mpuuzi peleka ukabila wako huko usukumani! Uharibifu katika uchumi uliofanywa na Magufuli hauwezi kurekebishika ndani mwaka mmoja wala miwili! Kumbuka Newton's third law of motion! To every action there .....!
 
Hela zipo angalau watu sasa wanajenga, nendeni site huko mkaone mijengo ya maana, we kutwa upo mtandaoni kuanzisha vi thred uchwara utabaki kama ulivyo kuwa chawa tu,

Mama anaupiga mwingi
Hata property market umeanza kurejea. Nyuma kidogo kama ulikuwa na nyumba au kiwanja ilikuwa huwezi kuuza labda ugawe bure!
 
Hicho kidole umezoea kujichoma mwenyewe,tafuta mabasha yakusaidie!
Acheni Mama Samia afanye kazi! Zama za wasukuma zimepita na itachukua miongo mingi sana Tanzania kuongozwa tena na Musukuma!
 
Kuziona fedha mtaani huwezi kuziona kama unavyoona chupa za maji zilizotumika au karatasi. Bali yafuatayo ndiyo kisababishi;

1. Serikali ikilipa madeni ya ndani (local creditors). Kumbuka Mwendazake alisema anakakiki madeni ya ndani na akawa halipi. Wanaoidai Serikali wakilipwa nao watawalipa wanaowadai.

2. Mabenki kuongeza kasi ya kukopesha fedha kwa wenye miradi. Wakati wa Mwendazake Mabenki yalipunguza Imani kwa wakopaji kwa kuwa Serikali ilikuwa inaweza kuwanyang'anya fedha wakati wowote.

3. Wenye fedha kuzipeleka Benki. Watu wengi waliwekwa nje ya nchi na wengine walichimbia chini fedha kwa kuwa Serikali ya Mwendazake ilikuwa inaweza kuangalia akaunti ya mtu na kumfungulia mashtaka au kuzinyang'anya.

4. Wawekezaji wa nje wanapoanzisha miradi. Wakati wa Mwendazake hakukuwa na miradi mipya ambayo ingetengeneza ajira.

5. Kukuza biashara ya nje. Biashara ya mahindi na mbao kwenda Kenya ilikuwa imesimama. Kwa hatua za kuruhusu biashara mipakani mzunguko utaendelea.

6. Mwananchi mwenyewe kujihusisha na uzalishaji mali/ huduma kwa kuwa hakuna mtu anagawa fedha mtaani.

Katika hayo siyo rahisi kuyaona katika kipindi cha mwezi mmoja bali ni kipindi cha miezi 9 hadi mwaka.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mzunguko wa kibiashara ni uwepo wa kibiashara zinazosababisha watu kupata ajira
 
Mimi siku hizi naokota hela kwenye michanga.

Nikifukua tu zimo. Nikigusa kidogo zimo.

Ahsante MAMA SAMIA.
 
Back
Top Bottom