Hela zimesharudi mtaani?

Ukweli ni kwamba ajira zimekuwa nyingi hususani kwenye sekta ya ujenzi,kama wewe ni Mhandisi au fundi sanifu wa ujenzi Kazi ni nyingi sana maana serikali imemwaga miradi ya ujenzi wa barabara via Tarura kila wilaya
 
Kaka mkubwa Nyani Ngabu , Hawa jamaa wanastahili kuhamishwa nchi. Walimtia stress mzee wetu JPM, wakamchongea kila mahali. Walifanikiwa sehemu kubwa ya misheni yao, hata hivyo walifeli kutenganisha upendo na ushawishi wake kwa wananchi wanyonge.
Hakika hawa Nyumbu wa Ufipa ni wanafiki, wazandiki, wazushi, wachonganishi, na waongo waliojivika uanaharakati. Ipo siku watalipwa kwa matendo yao
 
Uwe na adabu.wewe hata ukwaju hujawahi uza.utajuaje kama hela ziliadimika??
 
Naona hela zinatiririka kwa bavicha[emoji23][emoji23][emoji23]
Magufuli alibana hela,sasahivi hayupo,zinamwagika Sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu yangu, mwanadamu huwa haridhiki na always hanaga jema. Jifunze kwa safari ya wana waisrael Jangwani, kila walichokuwa wanakitaka, Mungu alkuwa anawapa, lakini mwishoe wakaishia kutengeneza sanamu ya ndama awe mungu wao, chezea mwanadamu wew. Always do the right things, watakukumbuka katika hayo.
RIP Magu.
 


watamkumbuka tu

1.wanaolalamika ubabe wa JPM ni wale walizibiwa mianya ya kula


2. JPM hakupandisha mishahara,.mama kapandisha mishahara...mafuta, tozo, bei ya mbolea!!!


unalazimisha tu, angalia namba moja hapo juu
 
We jamaa mataqle kweli. Dingi fo fo yiaz aliajiri!!?
Au hata hauelewi feza mtaani zinaingiaje mzee!!?

Yule f*l* hata muongeeje hatuji kumkubali wala niniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mkiwa hamna hoja mnaanza na matusi!!!! halafu unajipa faraja ya moyo kama unayoongea ni kweli

ukweli unabaki kuwa alichoongea huyu mwanzisha thread kimekugusa!!!!! huna namna ya kuukubali ukweli bali kutafuta faraja kwa kumtukana
 
Kwani hujamsikia waziri wa fedha ndugu Mwigulu?

Utatuulizaje sis wachangiaji wa mfuko wa uzalendo.
 
Wewe utakuwa mataga au sukuma gang posts zako nyingi za karibuni unamshambulia Samia sawa nae ana mapungufu yake kama binadamu.

Samia ndio hata miezi 6 haijafika unategemea results zake uzione katika 3 months hilo haliwezekani kabisa.

Pili tuangalie mabadaliko ya kisera tunaona awamu ya 5 kulikuwa na Contraction policy za kubana uchumi na mzunguko wa hela sisi tunaishi hapa TZ tuliona uko kupungua sana kwa pesa mifukoni mwa watu.

Samia Gvt yake imeleta expansionary poliy katika uchumi na mfunguko wa pesa na majuzi to Central Bank BOT imezitaka Banks kupunguza riba toka around 20% to 10% hii ni margin kubwa sana lengo ni kukuza credit creations na kurudisha hela mifukoni mwa watu na linahitaji muda tutaona matunda yake.

Awamu ya 5 kuna miradi mikubwa mingi sana Dodoma Stiegler SGR Ndege etc vyote vinahitahi hela nyingi sana na nyingi zikilipwa zinatoka nje ya nchi wakati huo huo mapato yameshuka utalii mapato yameshuka kwa 70% hayo sio ya kumlaumu Samia ni trend iliyosabishwa na maamuzi ya awamu ya 5 na unprecedented Corona pandermic negative impacts.

USD 650 Billions zimetengwa na taasisi za fedha kuobooster economies baada ya Corona sisi tulikataa kukopa wenzetu majirani wamekopa trillions of money.

Kubanwa kwa private sekta biashara za watz nyingi sana zilidoda na kufa wakati nguvu ikipelekwa taasisi za Gvt kufanya biashara hilo nalo lilikuwa kosa kubwa sana private sekta ni engine ya growth inahitaji kukuzwa sio kubanwa sana.
 
Reactions: Qwy
Kwa wakulima wa ufuta kuna mabadiliko msimu huu umenunuliwa kwa bei mzuri na malipo ndani ya wiki moja, Mbaazi nazo zinanunuliwa kwa kasi haijatokea kwa misimu mitano iliyopita, kwa sasa zimefikia zaidi ya 1000 kwa kilo kutoka 200 ya nyuma, pia choroko, dengu, na kunde bei zimechangamka na walau imerejesha hali fulani ya kipesa mtaani hasa mikoa ya kusini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…