Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
But….some of us saw this coming!Magufuli anatekeleza sera za Chadema .....huyu hafai hela zote anapeleka kwenye miradi, miradi yenyewe hasara tupu! Sasa ndege nani atapanda! Alafu analipa cash, si angekopa tu! Stendi ya mbezi ni ovyo italeta foleni kubwa! Magufuli ni dikteta amekataza siasa! Flyovers zipo Kenya zile za Magufuli hamna kitu...
Hahah 🙌 wabongo buana....Miss utalii anachoweza ni kutalii tu. Nothing more
Na bado subiri ikifike oktoba ndio utaona kila rangi..Ukweli ni kuwa, mzunguko umekuwa mdogo zaidi kuliko hata kipindi cha JPM.
Hii ni kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa na huduma. Mambo yamekuwa magumu zaidi.
Hakuna hela yeyote.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Malisa bado anatoa vile vi makala vyake vya kumsifia mama?Magufuli anatekeleza sera za Chadema .....huyu hafai hela zote anapeleka kwenye miradi, miradi yenyewe hasara tupu! Sasa ndege nani atapanda! Alafu analipa cash, si angekopa tu! Stendi ya mbezi ni ovyo italeta foleni kubwa! Magufuli ni dikteta amekataza siasa! Flyovers zipo Kenya zile za Magufuli hamna kitu...
Akili za kijinga kabisa zilikuwa,Sasa hayupo hizo pesa zipo wapi, mikitu imekalisha... Kijiweni kutwa haifanyi kazi ukiigusw t inakwambia huyu Magufuli kaficha pesa.Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani.
Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu...
Walisema hatumuwekei Mbowe dhamana! Wamtoe wenyewe! Wanambembeleza atoke! Ghafla nasikia wapo mahakani kupinga mashtaka ya ugaidi!Nasikia mabavicha yanaokota magunia kwa magunia kila siku
[emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ujinga umesomea au umerithi? Serikali yenyewe imekiri imeweka tozo kwa kuwa hawana pesa na wakaenda mbali na kusema kama hatutaki tozo tuwaeleze pesa watazipata wapi.Hela zipo angalau watu sasa wanajenga, nendeni site huko mkaone mijengo ya maana, we kutwa upo mtandaoni kuanzisha vi thred uchwara utabaki kama ulivyo kuwa chawa tu,
Mama anaupiga mwingi
Lisu yeye yuko kwa amsterdam alafu anamwambie mwenzie akae tu jela!Walisema hatumuwekei Mbowe dhamana! Wamtoe wenyewe! Wanambembeleza atoke! Ghafla nasikia wapo mahakani kupinga mashtaka ya ugaidi!
Seems ni maamuzi ya mtu tu otherwise kungekuwa na mkakati endelevu. Hata hili la katiba litajifia lenyewe sababu ya namna lilivyobebwa.
Sijui maana alishanipiga block kitambo , imagine mtu anatembeza block kwasababu ya hoja kinzani hapo hawezi kuamrisha Polisi! Hilo sikutegemea kabisa kwa mtu wa aina yake! Baada ya hapo nikala [emoji724] ya Jasusi Chahali [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi Malisa bado anatoa vile vi makala vyake vya kumsifia mama?
Mijengo ndani ya miezi minneHela zipo angalau watu sasa wanajenga, nendeni site huko mkaone mijengo ya maana, we kutwa upo mtandaoni kuanzisha vi thred uchwara utabaki kama ulivyo kuwa chawa tu,
Mama anaupiga mwingi
HahhahaSijui maana alishanipiga block kitambo , imagine mtu anatembeza block kwasababu ya hoja kinzani hapo hawezi kuamrisha Polisi! Hilo sikutegemea kabisa kwa mtu wa aina yake! Baada ya hapo nikala [emoji724] ya Jasusi Chahali [emoji38]
Kama umemuelewa anamaanisha michongo iliyokuwa imefinywa sasa iko open, wenye 'akili' zao wanazitengeza na projects zao zinaenda vyema.Huu ujinga umesomea au umerithi? Serikali yenyewe imekiri imeweka tozo kwa kuwa hawana pesa na wakaenda mbali na kusema kama hatutaki tozo tuwaeleze pesa watazipata wapi.
Sasa hapa unazungumziwa mtaa ambao wengi hawana hiyo access ya michongo ya serikaliKama umemuelewa anamaanisha michongo iliyokuwa imefinya sasa iko open, wenye 'akili' zao wanazitengeza na projects zao zinaenda vyema.
Read between the lines.
Shida ilianzia pale mama Samia aliposema "huko mbeleni nitateua hata wapinzani".Sijui maana alishanipiga block kitambo , imagine mtu anatembeza block kwasababu ya hoja kinzani hapo hawezi kuamrisha Polisi! Hilo sikutegemea kabisa kwa mtu wa aina yake! Baada ya hapo nikala [emoji724] ya Jasusi Chahali [emoji38]