Helicopter ilikuwa inamuonesha nani matokeo ya sensa huko angani?

Helicopter ilikuwa inamuonesha nani matokeo ya sensa huko angani?

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Kuna vitu vingine vinatendeka Hadi tunashindwa kuelewa.

Helicopter iko juu halafu tuinue vichwa juu tuumie shingo na macho kutazama matokeo ya sensa.?

Hii ya leo ilikuwa unnecessary kuanzia Kukusanya watu na urushwaji wa helicopter.

Bure kabisa nakulilia Tanzania
 
Tunaisikitikia nchi yetu....watu shida ya maji hatari..lkn hakuna chochote ambacho serikali imesema au inaplan kufanya.hivi ukame ukipiga mwaka itakuwaje??
 
Naqambia hili, siku kila mmoja akiweza kujimudu kiuchumi basi sisiemu watatoka madarakani.Kutufanya masikini ndio mbinu kubwa wanaitumia kubaki madarakani,yani wanafanya tuwe masikini ili tujisubmit kwao,tupige magoti tukiomba kheri...

Basi niwaambie,tusisubili watoke ndio tuwe matajiri,tuwatoe ili tuwe matajiri...Ukiweza kumudu mkate wako wa siku,acha kuwasupport...Aya lala sasa
 
Kuna vitu vingine vinatendeka Hadi tunashindwa kuelewa.

Helicopter iko juu halafu tuinue tuumie shingo kutazama matokeo ya sensa.

Hii ya leo ilikuwa unnecessary kuanzia Kukusanya watu na urushwaji wa helicopter.

Bure kabisa nakulilia Tanzania
UVCC nao wanapasha misuli ili kuandaa kongamano la kupongeza utolewaji wa matokeo ya Sensa, kwa mbaaaaali naona U W T.......... 'SENSOR'
 
Kule Mali na burkinafaso hakuna ujinga kama huku japo kiuchumi hawako vzr saan ila hakuna ujinga wa Kam uku kuvumilia viongozi wabofu pindi wanapo being notice watakupindua faster

Huku kwetu watu milion 70 wako tayri kukubli kuambia ujinga na viongozi wao na Bado wakachekacheka tu
 
Back
Top Bottom