The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
UVCC nao wanapasha misuli ili kuandaa kongamano la kupongeza utolewaji wa matokeo ya Sensa, kwa mbaaaaali naona U W T.......... 'SENSOR'Kuna vitu vingine vinatendeka Hadi tunashindwa kuelewa.
Helicopter iko juu halafu tuinue tuumie shingo kutazama matokeo ya sensa.
Hii ya leo ilikuwa unnecessary kuanzia Kukusanya watu na urushwaji wa helicopter.
Bure kabisa nakulilia Tanzania