Katika pita pita zangu mtandaoni nimeona comments ya mdau katika post ya Lema inasomeka hivi.
Mangi naomba kukumbusha usajili wa hii chopa umeshaexpire. Fanyeni renewal yasije kutokea majanga mkalaumu watu. Halafu hii chopa ilipata usajili kubeba wagonjwa. Mmebadili? Then kwa nini kila biashara mnawapa watu wa Moshi. Hii chopa iko operated na Kili Medi ya Moshi town. Kila la heri!
Jamaa ameambatanisha na ushahidi juu.