Wanakodisha so owner ndie ana deal nayo, how ever hakuna helicopter inayo expire, sema licence. Helicopter zinapitwa na wakati tuKatika pita pita zangu mtandaoni nimeona comments ya mdau katika post ya Lema inasomeka hivi.
Mangi naomba kukumbusha usajili wa hii chopa umeshaexpire. Fanyeni renewal yasije kutokea majanga mkalaumu watu. Halafu hii chopa ilipata usajili kubeba wagonjwa. Mmebadili? Then kwa nini kila biashara mnawapa watu wa Moshi. Hii chopa iko operated na Kili Medi ya Moshi town. Kila la heri!
Jamaa ameambatanisha na ushahidi juu.
CDM hawajanunua cash kama ndege zetu nyingine mbovu wao wanakodi na hiyo ni licence ndiyo imeisha siyo helcopta ni sawa na wewe leseni yako ya udereva iishe muda wake hiyo haimaanishi kuwa wewe huwezi kuendesha gari😂😂😂
Bei rahisi
Wazee wa michongo 🐼
Duh.Ukichunguza unakuta n Helicopter ya mbowe 😂
R.I.P Mzee Ndesa pesa!Katika pita pita zangu mtandaoni nimeona comments ya mdau katika post ya Lema inasomeka hivi.
Mangi naomba kukumbusha usajili wa hii chopa umeshaexpire. Fanyeni renewal yasije kutokea majanga mkalaumu watu. Halafu hii chopa ilipata usajili kubeba wagonjwa. Mmebadili? Then kwa nini kila biashara mnawapa watu wa Moshi. Hii chopa iko operated na Kili Medi ya Moshi town. Kila la heri!
Jamaa ameambatanisha na ushahidi juu.
#kataauchawaKatika pita pita zangu mtandaoni nimeona comments ya mdau katika post ya Lema inasomeka hivi.
Mangi naomba kukumbusha usajili wa hii chopa umeshaexpire. Fanyeni renewal yasije kutokea majanga mkalaumu watu. Halafu hii chopa ilipata usajili kubeba wagonjwa. Mmebadili? Then kwa nini kila biashara mnawapa watu wa Moshi. Hii chopa iko operated na Kili Medi ya Moshi town. Kila la heri!
Jamaa ameambatanisha na ushahidi juu.
Helicopter za fumigation ni hatari sanaCDM hawajanunua cash kama ndege zetu nyingine mbovu wao wanakodi na hiyo ni licence ndiyo imeisha siyo helcopta ni sawa na wewe leseni yako ya udereva iishe muda wake hiyo haimaanishi kuwa wewe huwezi kuendesha gari
2001, hatari sanaManufactured Year: 2001
Wangwe alikuwa na Malaria yule Malya akamlazimisha wasafiri hivyo hivyo 🐼Nabii Lema kaongea yasijekutokea ya Ayatolah nadhani Mangi atatusikiliza.
Sote tuna siku yetu ya kufa lakini Tahadhari ni nzuri.Wangwe alikuwa na Malaria yule Malya akamlazimisha wasafiri hivyo hivyo 🐼
Sasa mbowe atazipigaje pesa za chama?Chadema muwe mnasikiliza ushauri
Hili la helicopter acheni kusafiri nalo
Ni nini hamuelewi ?
Msiseme hatukuwaambia
Lissu sikia hili haliko sawa
Soma alama za nyakati
Ndani mwenu kunachemka mnajibebesha nyie haya