Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 875
- 633
Sawa Mwarabu-koko endelea Kubwabwaja!!!!We mzayuni kutoka Kagera tulia unataka nieleze nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa Mwarabu-koko endelea Kubwabwaja!!!!We mzayuni kutoka Kagera tulia unataka nieleze nini?
Nani kasema unashinda vita kwa kutumia anga tu?Huwezi shinda vita kwa kutumia anga tu,ndiyo maana israel kaweka wanajeshi 80k kaskazini anakopakana na lebanon licha ya kubomoa majumba kwa ndege
Yote uliyosema ni common sense tu mbona!infantry remains a vital part of modern warfare.
You can not hold ground bila infantry.
Zunguka pote, lakini ili ummalize adui lazima ushuke upambane naye chini.
Nakubali airpower itatumuka kumshambulia adui, lakini itasaidia kumpunguza nguvu,pia kwenye close air support, lakini ili umkabili adui vyema lazima ushuke chini.
Sote tunajua hapo Labanon Hezbollah wana tunnels zipo complex na zinakwenda sehemu nyingi katika hio nchi, wakati huo Israel anasema anataka kuwamaliza na kuwashinda Hezbollah, atawezaje pasipo kushuka chini kupambana nao ardhini?
Dunia sasa imebadilika, zile drone Israel alikuwa nazo miaka hio, hivi sasa Iran anatengeneza na kuwapa proxies wake, hivi sasa drones militias wengi tu wanazo.
Hio tech hakuna upekee tena, ndio maana umesikia juzi hapa Hezbollah kapiga askari wa Israel wanakula dinner kwemye kambi ya jeshi.
Israel akirusha F16s na ye Hezbollah anarusha hizo kamikaze drones, drones pia tunaweka upande wa silaha za anga.
Hivyo Israel wajitafakari, kama ardhini ni mdebwedo waachane na vita.
Well-Said!!!!!Nani kasema unashinda vita kwa kutumia anga tu?
Anga unaitumia ku neutralize vilivyopo ardhini halafu ndo unaingiza askari wa miguu.
Hii ni common sense tu mbona!
Air superiority ni muhimu sana katika vita.
Ukitawala anga basi chances za wewe kushinda vita ni kubwa sana.
Anapigana na vikundi anga lao lipo uchi sana lazima atambe.Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Huyo marioo ndo chanzo cha habari? Em subscribe hata aljazeera, CNN, times of Israel, hertz,. Kwenye video uliyo attach nilitarajia kuiona helcopter ikitua kweli na ikishusha maiti🤣.
Mwakahuu mmeyakanyaga, vumilieni tuu, lebanon pakishakuwa kama gaza mrudi hapa tu discuss..
Ila Israel vita ya ardhini sijui kwanini ni wachovu.
Ni wazuri wa covert ops na sabotage, pia ni wazuri kwenye air force lakini infantry jamaa ni weupe.
Wajomba zake "Mungu".Halafu huwa ni majeruhi tu,hawafi