Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Waisrael wakipigana hata na Sungusungu wa bongo ardhini tunawabonda
Mwanajeshi yuko vitani huku mawazo yako kwenye maaandalizi ya SEND-OFF unafikiri anaweza kushika bunduki vizuri.MAANA MDA MWINGI ANAWAZA MAWIFI WATAMLETEA ZAWADI GANI 😁😁😁😁😁😁😁😁Mashoga watawezaje kupigana ndugu yangu, jeshi limejaa mashoga kama wote wamelegea legea tu.
wanachoweza ni kuweka mabomu kwenye ndege na kuyarusha ardhini kutoke angani kwenye makaazi ya wananchi..
israel ni kama kichaa fulani hivi akipigwa badala ya kupigana na jeshi anapigana na raia, yaani anaua raia ndio anaona kafanikiwa..
Iran alipiga maeneo ya jeshi sio raia na ndio vita inatakiwa hivyo
Hujafika haifa na kiryat shmona,hata tel aviv imeanza kupendezaNainoa Beirut ikibadilika na kuwa kama gaza...
Tofautisha raia na wapiganaji.Ukiwa jamii forum unaweza kuwaonea huruma sana Israel ila ukienda al Jazeera unatamani Israel ashitakiwe kwa ukatili anaowafanyia Hezbollah na magaidi yote sasa sijui hizi taarifa mnazitoaga wapi😂😂😂😂
Vita ya 2006 Israel alipigwa je unalijua hilo!?Nani ni bingwa wa ardhini?
Halafu ni weupe kivipi? Nani kawahi kuivamia Israel na akafanikiwa?
Tofautisha raia na wapiganaji.
Ukienda Aljazeera utaona raia wanawake kwa watoto na wazee wakiteseka kwa kulipuliwa makazi.
Ila ukifuatilia utakuta Israel wanauliwa wanajeshi na kuumizwa wanajeshi.
Ila unaonekana una tuakili tudogo za uelewa.
Sikatai yanasikitisha sana.Tukiweka ushabiki pembeni, yanayoendelea huko yanasikitisha sana
Kwahyo we kwa akili zako kubwa unahisi mpaka leo Israel hajawahi kuua Hezbollah hata mmoja ? Au ulishawahi kusikia mpaka leo ni magaidi wa ngapi wa Hezbollah wamekufa? Kuwa na akili ukiongea na watu wazimaTofautisha raia na wapiganaji.
Ukienda Aljazeera utaona raia wanawake kwa watoto na wazee wakiteseka kwa kulipuliwa makazi.
Ila ukifuatilia utakuta Israel wanauliwa wanajeshi na kuumizwa wanajeshi.
Ila unaonekana una tuakili tudogo za uelewa.
Sikatai yanasikitisha sana.
Ila kiuhalisia Israel inalenga raia kimakusudi.
Iache kulenga raia ipambane na wapiganaji.
Nina akili na utu uzima kuliko wewe.Kwahyo we kwa akili zako kubwa unahisi mpaka leo Israel hajawahi kuua Hezbollah hata mmoja ? Au ulishawahi kusikia mpaka leo ni magaidi wa ngapi wa Hezbollah wamekufa? Kuwa na akili ukiongea na watu wazima
Sasa Hezbollah wanajificha kwa raia Israel afanyaje?Nina akili na utu uzima kuliko wewe.
Umeelewa kwanini nimekujibu hivyo!?
Hata kusoma kwa umakini na utuo hujui.
Haikataliki kuwa Israel imeua wanamgambo ila kwa kiasi kikubwa imefanya mashambulizi kwa raia wa kawaida kuliko wanamgambo.
Matukio yao yote ya uviziaji kuua makamanda na viongozi waandamizi wa Hizbollah.
Ila hayo unaoyaona huko Al-Jazeera ni mauaji ya raia wa kawaida.
Sijui hapo umenielewa!??
Una ushahidi kaka kama Hizbollah wanajificha kwa raia!?Sasa Hezbollah wanajificha kwa raia Israel afanyaje?
Haya sasa muda huu al Jazeera wanasema kuna uwezekano mkubwa yahya sinwar kiongozi wa hamas akawa amekufa baada ya Israel kushambulia kwenye kambi ya wakimbizi ya jabalia sasa huoni kuwa hawa jamaa wanatabia ya kujificha kwa raiaUna ushahidi kaka kama Hizbollah wanajificha kwa raia!?
Naomba upimie haya matukio.
1)Mwezi June IDF ililipua gari la waandishi wa habari ikiwemo wazungu wakiwa eneo la mpakani na Lebanon wakiripoti habari nje na mapigano.
2) Mwanzoni mwa 2024 IDF iliwafyatulia risasi kwa sniper kinamama wanne wakiwa kanisani,zingatia sniper ambaye lazima apime target ndio afyatue.
3)Mwanzoni mwa 2024 IDF ililipua nyumba ya French embassy Official West bank na ikamuua.
4)Mwaka huu huu 2024 IDF iliua raia wake wanne ambao walikua mateka waliotoroka Hamas wakiwa wamenyoosha mikono wakiwa tumbo wazi wakiomba msaada tena wakiwa metre chache na hao wanajeshi.
Nakuomba halafu useme je ni kwelii madai ya IDF kuhusu Hizbollah kujificha nyuma ya raia ni sahihi!??
Yahya Sinwar sio mpiganaji ni POLITICAL LEADER wa Hamas.Haya sasa muda huu al Jazeera wanasema kuna uwezekano mkubwa yahya sinwar kiongozi wa hamas akawa amekufa baada ya Israel kushambulia kwenye kambi ya wakimbizi ya jabalia sasa huoni kuwa hawa jamaa wanatabia ya kujificha kwa raia