startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Faida ya kuficha unadhani ni nini?Infantry ni ngumu sana
Hasa unapoingia territory ya watu wengine..Israel inapigwa sana wanajeshi wake wanakufa sana hata pale juzi walipomuua Sinwar kundi kubwa liliuwawa ila wao hawasemi hilo wanaficha sana..
Mbona umepanic mkuu ,we inaonyesha ni dictator ww Uhuru wa kujieleza hutakiWajinga na wapumbavu wamepewa uhuru wa kujieleza lakini wao sasa wamepitiliza na imeshakuwa fujo sasa ajaribu sasa kwenda nchi zingine akafanye Ujinga huo kama hatatolewa Manundu!!!
Yani kama Hezbollah wao hawafi.Halafu huwa ni majeruhi tu,hawafi
Tatizo mahaba yanamzidi nguvu mtu mpaka anaona wayahudi hawafi wala kujeruhiwaMuisrael mweusi wa ITEWE kachefukwa.
View: https://x.com/drrpalestine/status/1846445048327463171?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Israel wakipigwa kombora utasikia limetua vichakani,majeruhi madogo,lakini raia laki mbili wamehamishwa mpakani na hizbullahYani kama Hezbollah wao hawafi.
Hao waliamishwa Tangu mwaka Jana.Israel wakipigwa kombora utasikia limetua vichakani,majeruhi madogo,lakini raia laki mbili wamehamishwa mpakani na hizbullah
South lebanon mtu kibao,wanapiga majumba kwa ndege,watu wamekimbiaHao waliamishwa Tangu mwaka Jana.
Kutoka na rocket za Hezbollah.
North Israel Kuna watu wachache sana. Ni kama south lebanon
Wewe bwege tu! Ukiona mtu anaongelea sana ushoga ushoga ujue yeye ndo shoga na anautangaza! Akili yenyewe kisoda unaleta vipicha vya propaganda unaacha link kabisa ndo maana nimekuumbua hiyo picha ilipigŵa tarehe ngapi?Unatafuta Basha kwa nguvu bahati mbaya mimi na wasenge mbali mbali.
Hahahah eti umeniumbua yaani mimi nisumbuke na shoga kama wewe😂 unaniletea mipasho JF kuna vutuko huyu shoga naye anasema kaniumbua😀Wewe bwege tu! Ukiona mtu anaongelea sana ushoga ushoga ujue yeye ndo shoga na anautangaza! Akili yenyewe kisoda unaleta vipicha vya propaganda unaacha link kabisa ndo maana nimekuumbua hiyo picha ilipigŵa tarehe ngapi?
😂😂😂 Ukiona taarifa hijatangwazwa Al Jazeera ujue ni uhongo maana Al Jazeera wapo mstari wa mbele kieleza maovu ya Israel tuu. Na mabaya wanayoyaoata kutokana na vita.Wewe bwege tu! Ukiona mtu anaongelea sana ushoga ushoga ujue yeye ndo shoga na anautangaza! Akili yenyewe kisoda unaleta vipicha vya propaganda unaacha link kabisa ndo maana nimekuumbua hiyo picha ilipigŵa tarehe ngapi?
Hivi una habari kama Al-Jazeera wamekuwa banned ndani ya Israel na Palestina!??😂😂😂 Ukiona taarifa hijatangwazwa Al Jazeera ujue ni uhongo maana Al Jazeera wapo mstari wa mbele kieleza maovu ya Israel tuu. Na mabaya wanayoyaoata kutokana na vita.
Hayo mapunguani yanajua nini zaidi ya ushabiki mandazi.Hivi una habari kama Al-Jazeera wamekuwa banned ndani ya Israel na Palestina!??
Hizo taarifa wanazitoa wapi kwasasa!?
Al-Jazeera kipindi hiki taarifa za Israel wanazipata kwa kuibia ibia sanaaaa tena saanaa.
Maana vituo vyao Israel wamevivamia Israel na Palestina.
Na ukigundulika ndani ya Israel wewe mwanahabari wa Al-Jazeera kinaweza kukupata kama cha Sheriin Abu Akleh.