startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Faida ya kuficha unadhani ni nini?Infantry ni ngumu sana
Hasa unapoingia territory ya watu wengine..Israel inapigwa sana wanajeshi wake wanakufa sana hata pale juzi walipomuua Sinwar kundi kubwa liliuwawa ila wao hawasemi hilo wanaficha sana..
Kama wanapigwa sana ardhini mbona hamuwafagii mpaka tel aviv? Acha kujifariji ustaadh uzuri mnachomoka ....na sasa hivi tunaeliminate leaders tu! Wanaolisha wenzao matango pori huku wao wakiishi mapangoni