Helikopta ya Kijeshi ya Marekani yatunguliwa na Jeshi la Irani

Helikopta ya Kijeshi ya Marekani yatunguliwa na Jeshi la Irani

dronedrake

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2013
Posts
24,847
Reaction score
61,886
Helikopta ya Kijeshi ya Marekani, maarufu kama Apache Helicopter, iliyokuwa inaranda maeneo ya mlango bahari wa Hormuz, imetunguliwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran mapema tarehe 08/06/2026

Rais Donald Trump amedhibitisha kutunguliwa kwa helikopta hiyo na Marekani imesema iko mbioni kujibu mashambulizi hayo
===========
Rais wa Marekani Donald Trump ameilaumu Iran kwa kuidondosha helikopta ya kijeshi ya Marekani aina ya Apache iliyokuwa ikifanya doria katika Lango Bahari la Hormuz na kuahidi kujibu mapigo.

Wajumbe wawili wa doria waliokuwa kwenye helikopta hiyo ya mashambulizi ya Jeshi la Marekani waliokolewa na droni ya baharini ya Marekani baada ya ndege hiyo kuanguka karibu na Lango Bahari la Hormuz siku ya Jumanne.

Soma Pia: Jeshi la Marekani yazamisha boti sita za Iran

"Nimepata taarifa hivi punde kutoka kwa Jeshi letu Kuu kwamba jana usiku Wairani walidondosha moja ya Helikopta zetu za kisasa kabisa za Apache ilipokuwa ikifanya doria kwenye Lango Bahari la Hormuz," Bwana Trump aliandika kwenye mtandao wa kijamii.

"Hata hivyo, Marekani, kwa vyovyote vile, lazima ijibu shambulio hili."
==============
US President Donald Trump has blamed Iran for shooting down a US Apache helicopter that was patrolling the Strait of Hormuz and vowed to respond.

Two crew members aboard a US Army Apache attack helicopter were rescued by a US sea drone after the aircraft crashed near the Strait of Hormuz on Tuesday.

"I have just been informed by our Great Military that last night the Iranians shot down one of our highly sophisticated Apache Helicopters while patrolling over the Strait of Hormuz," Mr Trump wrote in a social media post.

"Nevertheless, the United States must, of necessity, respond to this attack."

Source: Aljazeera
 
TRUMP

Nimejulishwa hivi punde na Jeshi letu kwamba usiku wa jana Iran imengusha moja ya helikopta zetu za kisasa sana aina ya Apache wakati ilikuwa ikifanya doria juu ya Mlango Bahari wa Hormuz.

Kulikuwa na marubani wawili ndani yake, na wote wako salama bila majeraha. Hata hivyo, Marekani inalazimika, kwa sababu ya shambulio hili, kujibu hatua hiyo.
 
Aise hio apache ni balaa zinamimina njugu balaa

America must respond hapo tu trump ninapomkubali.
Trump uyu uyu ngoja tuone!!! Kashasema hakuna tatizo wote wapo safi wameokolewa ujue kakimbia tatizo 🤠🤠
 
Uzuri wamarekani na Israel hawafi isingekua hivyo kupigwa na kombora lazima wangekufa...
 
Back
Top Bottom