Helikopta ya Kijeshi ya Marekani, maarufu kama Apache Helicopter, iliyokuwa inaranda maeneo ya mlango bahari wa Hormuz, imetunguliwa na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran mapema tarehe 08/06/2026
Rais Donald Trump amedhibitisha kutunguliwa kwa helikopta hiyo na Marekani imesema...
Katika hotuba yake ya hivi karibuni, Reza Pahlavi ametoa ujumbe mzito akililenga Jeshi la Iran, akiwataka kusimama na kulinda taifa badala ya kubaki kimya.
Pahlavi aliwakumbusha wanajeshi hao kuwa wao ni warithi wa makamanda wazalendo wa kihistoria wa taifa hilo.
Alihoji ni jinsi gani wanaweza...
Amir Ali Hajizadeh, kamanda wa Kikosi cha Wanaanga cha Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, atoa tishio kwa Marekani:
Kama Marekani anaishi kwenye nyumba iliyotengenezwa kwa vioo hapaswi kumchokoza kichaa. Kwa sababuWamarekani wana kambi 10 karibu na Iran, zinazohifadhi wanajeshi 50,000 wa Kimarekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.