Helikopta ya kwanza ya Zimamoto kununuliwa

Wanunue hata 8 hivi kwa kila kanda,
Sasa shida ikitokea mwanza na helicopter 🚁 ipo Mtwara itakuwaje ?
 
WaTz milioni 60, tunaokatwa tozo Takriban bilioni 200 kwa mwezi, hadi leo tunaongelea kununua helicopter ya kwanza ya zimamoto isiyozidi bilioni 1 au 1.5, hivi sisi wakati tunarogwa tulikuwa uchi au?
Aibu sana

Ova
 
kabla ya moto kuanza😁😁.

hii logic ya kufikiri namna hii utaipata UVCCM na bungeni kwa tulia tu.
Kumbe hukumwelewa mchangiaji!
Watu kwenye mambo yenye utata, hutoa hoja tata pia.
Kwa kauli ya moja kwa moja isiyo na utata, mchangiaji kamaanisha kuwa, helkopta moja haiwezi kuwa ni msaada kwa nchi kubwa kama hii, maana majanga ama dharula huwa hazipigi hodi ama kufanyiwa maandalizi.
 
kama ni katika namna ya kumng’ong’a waziri basi nimeelewa,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

maana kwa hakika hivi ndivyo wao mawaziri wa ccm hujibu hoja,full mzaha.
 
Kuna faida gani ya kukopa dollar billion 1 halafu wanaenda kujishtaki wenyewe ICSID halafu pesa yote wanairudisha huko huko na riba juu
 
Wapuuzi tu . Hilo sio jambo la kujisifia na kulitolea ahadi. Ni mambo muhimu ya kufanyika kila wakati na kila mwaka.
 
Unachokisema ni kweli, lakini bado mazingira wezeshi ni changamoto, sera zilizopo sio rafiki sana kwa mtu wa chini, hasa anaetoka familia maskini. Kwa mfano unaweza kulima lakini mpaka upate soko la kimataifa ni ishu, lakin Viongozi wetu baadhi wanaojihusisha na kilimo wanamasoko ya Uhakika nje, wana foundation, wana connections, Vya kuifanyia nchi vipo vingi lakini je mazingira wezeshi yapo?
 
Kuna faida gani ya kukopa dollar billion 1 halafu wanaenda kujishtaki wenyewe ICSID halafu pesa yote wanairudisha huko huko na riba juu
Nazungumzia tuwapongeze kwa kupata hio chopper shida ni umasikini wa pato la taifa ndio maana imechelewa kupatikana na hili lipodhahiri kwenye bajeti yetu ni walau 30% kila bajeti ya mwaka inabidi to borrow hatuko self sufficient yeyote atakayefanikisha hili atakuwa ametusaidia sana sana kutoka ktk hii vicious cycle nq kupata uhuru wa kujipangia na kutekeleza shughuli zetu zote wenyewe.
 
Ni kweli lakini bado jukumu tunalo lazima tujiendeleze na kutumia fursa hizo pata picha miaka hiyo 1800 zama hizjo akina Alhaj Dantata babu wa babu wa Aliko Dangote alikuwa tajiri mfanyabiashara mkubwa kipindi hicho kulikuwa hali haiko kama sasa alitumia fursa vizuri na pia fursa huonekana kwenye macho ya yule aionaye mfano Mengi marehemu aliona fursa ya biashara ya kutajirika basi amehusle amekuwa hivyo ila changamoto ya watu wetu wengi ni walalamishi japo sio wote akili zao zinaona matatizo tu wanaweza kuzungukwa na mto mkubwa wa maji lakini juu hapo vijiji vinanjaa tunahitaji kusugua bongo na maarifa tuyakabili haya maisha with or without help ya serikali kwani maisha ni yetu na tutahukumiwa na jamii jinsi tutakavyoyaishi. Ikiwa ombaomba tu walishawahi pewa mikopo ya dola 5 hadi 10 na kufanya biashara hadi kuacha kuwa omba omba basi vijana watu wazima wasomi wasio wasomi wanaweza kabisa kuanzisha vitu kupitia uwezo wao na hicho kidogo na kufika mbali tukibadili mindset hata Mbuyu ulianza kama mchicha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…