TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Jamani Mungu onyesha mkono wako tunaomba ndugu zetu wawe hai
 
Hili jeshi ambalo kila siku kikwete analitumia kufanya maonesho mijin bado halijatumika kuwapata huko field ya ukweli?
 
Nimeshangazwa sana na ajali ya Jana ya helicopter. Nilitegemea mpaka sasa ningepata taarifa juu ya kinachoendelea lakini cha sangaza naona kimya mpaka sasa. Serikali haina team ya snag ya uokozi KWA miaka 50 ya uhuru.
Naona watakuwa wameomba msaada kutoka nje ya nchi waje wawasaidie kuwatafuta
 
Tumwombe Mungu awaepushe na madhara yyt na tuache ushabiki wa kijinga kwenye utu wa mtu, cc ukawa ni waungwana na tunathamini sana utu kwanza siasa baadae.
 
Ashakum si matusi..... (Serikali ya fisiem ni ya kinanihii sana)
Mimi ni Chadema kindakindaki ila kuna mambo at least yangewapa credibility kwa watz (kama hili la uokozi)....

Seriously imeshindwa kutoa Helicopter moja ya campaign kwenda kuwatafuta hao waliopata ajali toka jana?? Au basi hata Ile helicopter ya Maliasili iliyopewa msaada haiwezi kutumika?? Mnatuambia eneo ni gumu kufikika af mnatuma waokoaji kwa miguu??

It's a shame!! Mna hela za kuhonga kina Sepetu ila mtu km Filikunjombe ambaye ana msaada kuliko huyo Mgombea Urais wenu hamjishughulishi....

Ndio maana tunasisitiza kuwa "MMEISHIWA PUMZI, NA NI LAZIMA TUWATOE MADARAKANI"...
 
Kwani ofisi pale ufipa hazipo?? Na kama hizo hazifai zimewezaje kuzaa wabunge kuanzia wanne mwaka 1995 mpaka sasa 45+?? Mikutano unayosema tunafanyia mahotelini ni mingapi kwa mwaka mmoja?? Inagharimu kiasi gani?? Hivi magari yote yuliyo kila wilaya ya nchi hii ya M4C, gharama za mafuta kwa kila mwezi, posho za watendaji kwa ofisi zote Tanzania, bill za umeme, gharama za kuendesha operation kadhaa nchi nzima unadhani ni ndogo?? Kama unabeza hilo kwanini CUF, NCCR na vyama vingine vinashindwa kufanya mikutano mbalimbali ya kiharakati ili kuwafungua watanzania?? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni..

Unashangaa CDM kupanga ofisi angali serikali ya CCM ilikodi ndege za ATC kwa gharama za kutisha na mpaka leo hatuoni benefits za ukodiji huo..

Mkuu Hizo Cost Zote Hazizuii Nyie Kujenga Ofisi,viongozi Wenu Wameshindwa Kuplan Na Kuorganize Vitu.....Niambie Ruzuku Kwa Mwezi Mnapokea Sh. Ngap Na Hivo Vitu Vinacost Sh.Ngap?
 
mimi nahisi jamaa wamevuta sema sirikali inatafuta staili gani watangaze suala hili ukizingatia muda wenyewe huu upepo hauvumi vizuri upande wao!
 
Deo ni mbunge anayewajibika kwa wananchi Mungu amuepushie baya hilo,hana character za gambaz wengine.
 
kama mpaka sasa ni kimya hakuna taarifa ya maana toka serikalini basi Kuna jambo Kubwa limewapata wahanga....
 
Mkuu tutaenda mbali kwa mijadala ya aina hii ,Chopa wanamiliki kina Gwajima wachungaji sembuse kwa taasisi kama CHADEMA ,hiyo sio priority ya CHADEMA sasa, nguvu kubwa ilipelekwa kwenye harakati na kuwakomboa wengi kifkra majengo yatajengwa tu

Kuwakomboa Watu Kifikra Kungeweza Kufanyika Hata Kama Chopa Zisingetumika Unless Other Wise M4c Haikueleweka....
 
Nawapa pole wahanga wa ajali pamoja na ndugu na jamaa pia.

Lakini kama taif ayafaa tujianagalie upya katika sekta ya uokozi tuko nyuma mno. Juzi juzi kulikuwa na sereka ya wanajeshi wawili kupote baada ya ndege yao kupata itilafu uokoaji ilikuwa taabu tupu. Kwenye vyombo vya maji huko ndiko matatizo zaidi sasa tufike sehemu tuone kuwa kuna uzembe na turekebishe siasa ziwekwe pembeni linapokuja suala la usalam wa binadamu.

!. Ukaguzi na usimamizi wa vyombo vya kusafiria uangaliwe upya.

2. Ajali haina kinga sawa, basi tuimarishe idara zetu za uokoaji ikiwemo zima moto maana nayo ni taabu pia.
 
Tuko pamoja
 

Attachments

  • 1444980459047.jpg
    1444980459047.jpg
    80.2 KB · Views: 411
hivi mwamunyange amesharudi au bado isijekuwa hii ni zibaziba ili watu wasihoji ya mwamunyange.

samahani wakuu nilikuwa nawaza kwa sauti maana mbona hakuna taarifa ya kueleweka juu ya habari hii ya ajali hivi kweli hatuna uwezo hadi sasa wa kujua hali za waliokuwapo katika chopa? kama kweli hii ni hatari kubwa

Insu ya mwamunyange sasa imezimwa na ajari ya chopa.. Hivi inawezekana kweli toka jana mpaka leo hakuna taarifa zozote hii nchi sasa tunakoenda siyo kuzuri.
 
mimi nahisi jamaa wamevuta sema sirikali inatafuta staili gani watangaze suala hili ukizingatia muda wenyewe huu upepo hauvumi vizuri upande wao!

Wamevuta mini? Goso? Bangi? Au kamba ? Kaya?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom