Dr. Ngwazi
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 723
- 289
Wapo buys kuwaibia watanzania
Kweli we jambazi, ulikimbia umande ukaamua kuwa jambazi, hilo neno lenye rangi nyekundu linafanana na ulichotaka kumaanisha kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo buys kuwaibia watanzania
Mkuu naamini umeongea hivi tu kwa sababu ya ushabiki ,kwani Chopa Mpya sh ngapi ???
Naona watakuwa wameomba msaada kutoka nje ya nchi waje wawasaidie kuwatafutaNimeshangazwa sana na ajali ya Jana ya helicopter. Nilitegemea mpaka sasa ningepata taarifa juu ya kinachoendelea lakini cha sangaza naona kimya mpaka sasa. Serikali haina team ya snag ya uokozi KWA miaka 50 ya uhuru.
Chadema wanamiliki Chopa???!!Una nasaba yoyote na ukoo wa Mtei???
Kwani ofisi pale ufipa hazipo?? Na kama hizo hazifai zimewezaje kuzaa wabunge kuanzia wanne mwaka 1995 mpaka sasa 45+?? Mikutano unayosema tunafanyia mahotelini ni mingapi kwa mwaka mmoja?? Inagharimu kiasi gani?? Hivi magari yote yuliyo kila wilaya ya nchi hii ya M4C, gharama za mafuta kwa kila mwezi, posho za watendaji kwa ofisi zote Tanzania, bill za umeme, gharama za kuendesha operation kadhaa nchi nzima unadhani ni ndogo?? Kama unabeza hilo kwanini CUF, NCCR na vyama vingine vinashindwa kufanya mikutano mbalimbali ya kiharakati ili kuwafungua watanzania?? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni..
Unashangaa CDM kupanga ofisi angali serikali ya CCM ilikodi ndege za ATC kwa gharama za kutisha na mpaka leo hatuoni benefits za ukodiji huo..
Mkuu Hizo Cost Zote Hazizuii Nyie Kujenga Ofisi,viongozi Wenu Wameshindwa Kuplan Na Kuorganize Vitu.....Niambie Ruzuku Kwa Mwezi Mnapokea Sh. Ngap Na Hivo Vitu Vinacost Sh.Ngap?
Mkuu tutaenda mbali kwa mijadala ya aina hii ,Chopa wanamiliki kina Gwajima wachungaji sembuse kwa taasisi kama CHADEMA ,hiyo sio priority ya CHADEMA sasa, nguvu kubwa ilipelekwa kwenye harakati na kuwakomboa wengi kifkra majengo yatajengwa tu
lazima Kuna jambo kubwamimi nahisi jamaa wamevuta sema sirikali inatafuta staili gani watangaze suala hili ukizingatia muda wenyewe huu upepo hauvumi vizuri upande wao!
hivi mwamunyange amesharudi au bado isijekuwa hii ni zibaziba ili watu wasihoji ya mwamunyange.
samahani wakuu nilikuwa nawaza kwa sauti maana mbona hakuna taarifa ya kueleweka juu ya habari hii ya ajali hivi kweli hatuna uwezo hadi sasa wa kujua hali za waliokuwapo katika chopa? kama kweli hii ni hatari kubwa