Idara ya wanyamapori iliagizwa na waziri mwenye dhamana waende eneo la tukio kutoa msaada kwa wahanga wa hiyo ajali.
baada ya kuagizwa Ccm/ serikali na vyombo vya habari si wangetupa updates?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idara ya wanyamapori iliagizwa na waziri mwenye dhamana waende eneo la tukio kutoa msaada kwa wahanga wa hiyo ajali.
Members hebu muda mwingine tunapotafakali matendo ya Mungu basi tuweke Siasa Pembeni, Mimi ni mwanachama Hai wa ACT, lakini Kura yangu nilisha sema kwa LOWASA, kwasababu naijua vizuri Demokrasia.
Sasa Chama kingine kinapo pata Tatizo tunapaswa sote Kama Watanzania tushikamane kufarijiana, Hizi Kampeni zina mwisho wake lakini Utanzania wetu hauna mwisho,
Inasikitika sana watu wanapo furahia Kufa kwa kiongozi fulani eti kwasababu ametokea CCM, Please HUU SIO UTANZANIA WETU TUNAKIUKA MISINGI TULIYO ACHIWA NA MWALIMU NYERERE, WATANZANIA WOTE NI NDUGU
baada ya kuagizwa Ccm/ serikali na vyombo vya habari si wangetupa updates?
CCM kuna watu ama koroma tupu?Jamani there is something wrong behind the scene! Inamaana hata askari game wa selous bado hawajafika eneo latukio kutujuza facts yaliyojiri? Dah hii kweli tz. Wapi mtaalam wa majanga mbatia!
Mbona haichekeshi?Hahaha Ikianza Kuanguka Atakufa Kabla Ya Kufika Chini Makopo Yote Ya Sindano Anazochomwa Yatadondoka Mbugan, Na Kopo La Asali Litadondoka, Victorie Umenchekesha
Mi hata sishangai ndivyo tulivyo. ndo uwezo wetu. yaani hao ndo sisi. kama twiga wanapandishwa ndege na watu wasiozidi kumi na wanaenda. kama leo mtu ana kupangia bei ya kununua jasho lako na si wewe ndo umpangie kama kuna midhahabu, gas sijui misitu lakini bado tunaitwa third world country. sisi ni wajinga tena kama si wapumbavu sijui haiwezekani vichwa vichache vituharibie maisha afu wanaume wazima tuna shave every morning. na all this life amekosekana mwanaume kama idd amin mseven,kagame,hitler na mussolini. siwasifii lakini hawa ni watu waliothubutu kusimamia dhamiri yao. waliguswa na waliona wanawajibu wa kubadili maisha ya watu. yawezekana utawala wao haujakidhi kiu ya watu wao ila hawa waliamini wao ndo watabadilisha mataifa yao na wakaweza. so mimi wewe na yule uwezo wetu ndo huuKhaa!! Hivi kweli katika raia million 45 na zaidi hakuna anayeweza kufanya chochote kuhusu hili? Hatuwezi hata tumia akili kidogo chopa zote ziliz kwenye kampeni zikaeelekea huko? :mad2:
ntamaholo sheria ya mtandao inanibana ningeshafuka ajue kuwa anachukiwa sana zaidi anavyofikiri!
Rest in peace wote mliokuwemo kwenye pipa.
Idara ya wanyamapori iliagizwa na waziri mwenye dhamana waende eneo la tukio kutoa msaada kwa wahanga wa hiyo ajali.
Mkuu Hizo Cost Zote Hazizuii Nyie Kujenga Ofisi,viongozi Wenu Wameshindwa Kuplan Na Kuorganize Vitu.....Niambie Ruzuku Kwa Mwezi Mnapokea Sh. Ngap Na Hivo Vitu Vinacost Sh.Ngap?