TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

ZITTO Kabwe Ruyagwa Zittokabwe Nimepata taarifa za awali kutoka eneo la tukio. Ndugu yt Deo na baba yetu Silaa na abiria wengine wapo Salama. Polisi wanaendelea na juhudi

Last edited by a moderator:

Zitto kaandika hivi katka Account yake ya Facebook...Sijui alimaanaisha nini??na kamwaga rafiki yake Deo aliandika hivi
 
Last edited by a moderator:
mpaka sasa hakuna update????...hatari
Nami naogopa maana waziri kasema watu waliiona ikianguka na kuripuka, kataja hadi eneo ilipoanguka. Sasa iweje waokoaji hawajafika kutueleza kama kuna usalama?
 
Haiwezekani toka jana jioni eti wanajua helkopta iliyokuwa mmembeba Deo Filikunjombe ameangukia wapi lakini mpaka sasa hakuna habari za uhakika ni kitu gani kilichotokea!
Iwapo Kamakamba kanasema hakuna helkopta yoyote inayotumiwa na ccm imeanguka!!!hii maana yake nini? Inaweza kuwa wanaanzisha tukio feki ili kututoa kwenye madai yetu ya kutaka kujua ni wapi alipo mkuu wa majeshi ndugu Davis Mwamunyange!
 
Last edited by a moderator:
ZITTO Kabwe Ruyagwa Zittokabwe Nimepata taarifa za awali kutoka eneo la tukio. Ndugu yt Deo na baba yetu Silaa na abiria wengine wapo Salama. Polisi wanaendelea na juhudi

Huo upuuzi wa Kiongozi wako wa Chama aliandika masaa matatu yaliyopita.. Acheni siasa hao watu hakuna uwezekano wa kuwa hai
 
Last edited by a moderator:
ZITTO Kabwe Ruyagwa Zittokabwe Nimepata taarifa za awali kutoka eneo la tukio. Ndugu yt Deo na baba yetu Silaa na abiria wengine wapo Salama. Polisi wanaendelea na juhudi

Zitto yupo Kigoma and kule Hakuna mtandao Acha kutoa taarifa kwa u tetesi, au Msolwa hupafahamu
 
Last edited by a moderator:
Zitto Kabwe ambaye ni mmoja wa marafiki wakuu wa Filikunjombe, kwenye moja ya mitandao yake amesema Deo hatunaye. Inasikitisha sana sana.
 
Huo upuuzi wa Kiongozi wako wa Chama aliandika masaa matatu yaliyopita.. Acheni siasa hao watu hakuna uwezekano wa kuwa hai
Mkuu sisi hapa tunachokililia ni jinsi gani serikali hii ya magamba ilivyo kuwa ovyo linapotokeaga jangaa kwenye uokowaji ni zero kabisa!
Mv bukoba, mv spice etc majanga yote hayo uowokoaji ulikuwa zerooooo
 
Bado tunataka kujua Mamunyange yuko wapi?
 
Kwa hiyo ni kweli na wamekufa wote au tueleweje sasa wekeni wazi basi
 
Kwan wapo hai mnadhan?????

tutawajuza tunaweka gap kidogo misiba mingi soon tutawambia maziko wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…