TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Ni kweli hatimaye jerry silaa kathibitisha kwenye page yake ya instagram. R. I. P wahanga wa ajali hii.
 
Kuna kitu Zitto aliongea baada ya kukamilisha ESCROW.Kuwa walikataa hongo na wakaambiwa wajumbe wote wa kamati hamna atayerudi bungeni.Uchunguzi uanzie hapo.
 
Jerry Silaa amecomfirm
 

Attachments

  • 1444992672271.jpg
    66.9 KB · Views: 1,011
Daaaha noma saan
Source instagram ya Jerry Slaa
 

Attachments

  • 1444992877180.jpg
    106 KB · Views: 1,178
Hizi propaganda tu,tunajua kuwa ukawa mnatuombea mabaya,ila sisi tuko na Mungu,Hapa kazi tu,magufuli atosha
 
Kiukwel ccm huwa siwapendi,lkn Deo kaniumiza jamani..
Poleni sana wafiwa jamani..Mungu kawapenda zaidi
 
Sad indeed!R.I.P Deo,too young to go!
 
Kwakweli mi c ficim lakini nimeumia filikunjombe alikuwa jembe

rip filikunjombe
pole wana ludewa muombeni mungu awapatie kama huyu kijana
 
Mungu wa watanzania isaidie Tanzania yako, na waponye watu wako daima mbele,
 
Deo alikua bado anahitajika sana hii ni habari mbaya sana kwangu
 
Uwiiiiii R.I.P DEO. Eeh Mungu tusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…