P. Majaribu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 1,192
- 623
Bado namatumaini wapo hai...ila kuchelewa kuja kwa update wahusika ni wazembe
Filukunjombe amefia njiani akikimbizwa hospitalini,pia pilot mzee silaa naye hatunaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado namatumaini wapo hai...ila kuchelewa kuja kwa update wahusika ni wazembe
jerry silaa kathibitisha on instagram kuwa baba yake na filikunjome wamefariki
Una uhakika au unahisi jamani,acheni masiharadeo amefariki dunia ..mda mfupi uliopita imethibitishwaaaa..habari kamili itafuata...hakuna aliyepona ....RIP DEO