Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Hizi propaganda tu,tunajua kuwa ukawa mnatuombea mabaya,ila sisi tuko na Mungu,Hapa kazi tu,magufuli atosha
Nape Nnauye alikwemo?
R,I,p unazani kumuombea mabaya mwenzio ni vizuri? IPO siku na wewe yatakikuta acha ujongaTuliza mshono mpuuzi ww, usilete SIASA kwny maisha ya watu!!! Pumbavu&nusu kabisa...
R.I.P Filikunjombe, William Slaa na abiria wote waliokuwepo kwenye Helicopter!!
Kweli hii ni bongo land.
Kwa hiyo kila mtu anaotea? Hakuna hata mwenye mamlaka ya kuhabarisha! Khaa