TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Hizi propaganda tu,tunajua kuwa ukawa mnatuombea mabaya,ila sisi tuko na Mungu,Hapa kazi tu,magufuli atosha

Tuliza mshono mpuuzi ww, usilete SIASA kwny maisha ya watu!!! Pumbavu&nusu kabisa...

R.I.P Filikunjombe, William Slaa na abiria wote waliokuwepo kwenye Helicopter!!
 
Dah! Huu mwaka
 
Attachments

  • 1444993115259.jpg
    1444993115259.jpg
    68.8 KB · Views: 602
Watanzania Bwana kila kitu ni siasa....natambua shukrani kwa rais, igp, magufuli je?

nawapa pole wafiwa wote..na mungu azipumzishe roho za marehemu
 
Duh inasikitisha sana RIP Deo, mtu aliyependwa na watu wote bila kuangalia tofauti ya vyama na ni kwa sababu alikuwa anasimamia ukweli.
 
Tuliza mshono mpuuzi ww, usilete SIASA kwny maisha ya watu!!! Pumbavu&nusu kabisa...

R.I.P Filikunjombe, William Slaa na abiria wote waliokuwepo kwenye Helicopter!!
R,I,p unazani kumuombea mabaya mwenzio ni vizuri? IPO siku na wewe yatakikuta acha ujonga
 
Watanzania Bwana kila kitu ni siasa....natambua shukrani kwa rais, igp, magufuli je?

nawapa pole wafiwa wote..na mungu azipumzishe roho za marehemu
 
Kati ya watu wenye akili waliokua CCM, DEO ni mmojawapo. R.I.P Bro.
 
Dah! Watu kama filip kunjombe walihitajika sana ktk serikali ijayo mungu ailaze roho yake mahali pema peponi watanzania tulikupenda lkn mungu kakupenda Zaid
 
Habari zilizotufikia hivi sasa ni kuwa Mbunge huyu katutoka . Mungu ailaze mahali pema peponi.
 
Too sad!
Too soon to die!
R i p Deo and others.😱😭
 
RIP Fili, ulikuwa jembe. Mungu aipe nguvu familia yake na wapenda, na watenda haki wote.

Amen.
 
Back
Top Bottom