TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Filukunjombe amefia njiani akikimbizwa hospitalini,pia pilot mzee silaa naye hatunaye.

Imeniuma sana kwa kweli yaani nimetokwa na machozi,mimi ni mwana UKAWA ila Deo nilikukubali sana kwa utendaji.Uwe na mapunziko mema kwa Mungu.
 
RIP, poleni wafiwa, bwana filikunjombe tulikua bado tunakuhitaji sana sisi ukawa, wewe ulikua mwanajeshi tulie kutuma ndani ya ccm kuwateketeza ccm.
 
Nimejikuta natokwa machozi kwa Deo jamani! Ktk ccm yote Deo nilikuwa naweza msikiliza! Ameniuma sana!
Duuuuh! RIP DEO!
jembe la ukweli na lapekee kutoka ccm!
Polen wana ludewa!
 
Duuh Mungu uwape moyo was subira na uvumilivu wote waliopoteza wapendwa wao.
 
RIP Mheshima Deo Filikunjombe,umetangulia lakini umeatuachia kumbukumbu kutokana na mchango wako katika bunge lililopita, tunabaki kujiuliza kwa Mungu KWANINI AMEYARUHUSU HAYA? Ila mwisho tunasema mapenzi yake yatimizwe.

I should be honest here, we have lost several souls recently but of all the lost souls this one has touched me beyond measure
 
Dah bora angehamia CHADEMA pengine asingefikia hapo.
Rest in Peace Deo so disapointing jamani.
 


Poleni sana wafiwa deo filikunjombe kati ya majembe machache ndani ya CCM r i p pia pole sana slaa kwa kupoieza Baba pole pia kwa wengine
 
Pamoja na mimi ni mpinzani lakn nmesikitishwa sana na kifo cha Deo Filikunjombe alikuwa amejitofautisha sana na wana Ccm wengi
 
Ni nini jamani? Eeh Mungu tunusuru
 
R I P
alikua tumaini kwa wana jimbo lake.
 
Watanzania Bwana kila kitu ni siasa....natambua shukrani kwa rais, igp, magufuli je?

nawapa pole wafiwa wote..na mungu azipumzishe roho za marehemu

Anategemea Magufuli atapita ili amkvmbuke kwenye ufalme wake
 
Watanzania Bwana kila kitu ni siasa....natambua shukrani kwa rais, igp, magufuli je?

nawapa pole wafiwa wote..na mungu azipumzishe roho za marehemu

Huyo Jerry analeta siasa kama hajafiwa na babake vile.. Nimemdharau sana, Magufuli ndiye nani sasa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…