Usilie mkuu aluta continua Oct 25 malizaaa machungu yakooooo na tupate ushindi tuiangushe ccmImeniuma sana kwa kweli yaani nimetokwa na machozi,mimi ni mwana UKAWA ila Deo nilikukubali sana kwa utendaji.Uwe na mapunziko mema kwa Mungu.
Kujipendekeza kubaya sana, sasa Magufuri amesaidia effort ipi kwenye rescue team? hawa ndio watoto wakifiwa na wazazi wanawahi account na mali za marehemu msiba baadaye.siasa hizi zitatuua mwaka huu silaa amefiwa na baba yake badala yakusikitika anaanza kutoa shukurani kwa magufuri!
Siasa za CDM hakuna mtu yeyote anaetumia kichwa chake makini na sawasawa anawaunga mkono.Hakuna mtu makini yeyote anayependa SIASA ZA CHUKI KALI,KUITANA MAJINA FISIEM,FUJO,VURUGU NA ZOMEAZOMEA.Hayupo.Hilo kundi usemalo ni watu wachache sana na tena wengine hata VITAMBULISHO Hawana.FANYENI SIASA ZA HOJA,CHUKI HAZIJENGI.Mwl JK Nyerere alipata UHURU WA NCHI HII KWA HOJA SIYO VURUGU,FUJO,ZOWEAZOMEA NA MAANDAMANO.#R.I.PDeoFilikunjombe Tumepoteza mpambanajiTatizo wanfikiri kwamba 90% ya wapiga kura ni wasomi na wafanyakazi wa serikali,wakati hawajui 70% ya waliojiandikisha ni wale wanaowaita VIBAKA,WANYWA VIROBA,WAVUTA BANGI na WASIO NA KAZI, na ambao ni wengi.
Hawajui wanaoangusha utawala wowote ni hawa wasio na chochote.
Filukunjombe amefia njiani akikimbizwa hospitalini,pia pilot mzee silaa naye hatunaye.
chanzo tafadhali
Hujui thamani ya Mtu na utu, , mbafuu