TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Dah,maskini DEO,kwa nini isingekuwa vuvuzela ndo kapanda ????
 
Imeniuma sana kwa kweli yaani nimetokwa na machozi,mimi ni mwana UKAWA ila Deo nilikukubali sana kwa utendaji.Uwe na mapunziko mema kwa Mungu.
Usilie mkuu aluta continua Oct 25 malizaaa machungu yakooooo na tupate ushindi tuiangushe ccm
 
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa katika ukurasa wake wa twita na Instagram ambaye pia amempoteza baba yake kwenye ajali hiyo.

poleni wafiwa

 
Hiii serikali ni ya kijinga sana......tangu jana watu wasife.??? Timu za uokoz zinakaz gn....hii nchi kweli imewashinda ccm...kazi kuonyesha mavyombo yenu ya kivita huku dharula hamziwezi...R.I.P FILIKUNJOMBE saaad mara mwisho nilikuona mwezi august kanisani ukisimamia mtoto kipaimara Mungu akulaze pema peponi ..jirani...umemuacha mkeo sara na watoto bado wadogo jamanii
 
hii yote ni mipango ya MUNGU katika kuelekea kuing'oa CCM mdarakani tarehe 25/10/2015.
 
Tatizo wanfikiri kwamba 90% ya wapiga kura ni wasomi na wafanyakazi wa serikali,wakati hawajui 70% ya waliojiandikisha ni wale wanaowaita VIBAKA,WANYWA VIROBA,WAVUTA BANGI na WASIO NA KAZI, na ambao ni wengi.

Hawajui wanaoangusha utawala wowote ni hawa wasio na chochote.
Siasa za CDM hakuna mtu yeyote anaetumia kichwa chake makini na sawasawa anawaunga mkono.Hakuna mtu makini yeyote anayependa SIASA ZA CHUKI KALI,KUITANA MAJINA FISIEM,FUJO,VURUGU NA ZOMEAZOMEA.Hayupo.Hilo kundi usemalo ni watu wachache sana na tena wengine hata VITAMBULISHO Hawana.FANYENI SIASA ZA HOJA,CHUKI HAZIJENGI.Mwl JK Nyerere alipata UHURU WA NCHI HII KWA HOJA SIYO VURUGU,FUJO,ZOWEAZOMEA NA MAANDAMANO.#R.I.PDeoFilikunjombe Tumepoteza mpambanaji
 
Filukunjombe amefia njiani akikimbizwa hospitalini,pia pilot mzee silaa naye hatunaye.

OMG! Kumbe vikosi uokoaji vingefika mapema pengine baadhi wangeokolewa! RIP wote waliofariki na pole sana kwa familia za wafiwa.
 
Juzi nilikuwa na mtu mmoja wa Ludewa.. Akaniambia tangia siasa za vyama vingi zianze hakuna mbunge aliyerudi mara mbili bungeni katika jimbo lao, na ni Deo pekee ndiye ambaye angekuwa wa kwanza.. R.I.P Deo
 
Hujui thamani ya Mtu na utu, , mbafuu

Najua thamani ya utu. Tena nimeguswa kwa karibu sana. Nilikuwa napinga walalamishi wanaotumia siasa kijinga. Ninajua kuna watu wamejitahidi kuwatafuta na kuwaokoa tangu jana lakini Mungu aliwapenda zaidi.
 
Back
Top Bottom