Oooh Deo. Mimi NI chadema.Ila hata sisi tumeuMIA SANA KWANI KIJANA HUYU ALIKUWA MPAMBANAJI SANA HADI CDM Walipata kigugumizi ktk Eneo hili. ALIFANYA KAZI SANA. May GOD Rest him in PEACE.AMEN. POLENI SANA WATANZANIA.
Mkuu wangu Tyta huyu jamaa ni mpuuzi sana.. Sasa sijui hizo taarifa za uhai alizokuwa anazitoa bila ya evidence tangia jana alikuwa anapewa na nani. Angalau Nyalandu aliweka hali halisi na kutoa taarifa bila ya ushabiki..