robsony kazi
Member
- Feb 9, 2013
- 16
- 0
rest in peace Deo filikunjombe!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiinglish cha magufuli (you was leader).May his soul rest in peace,what a tragedy!Deo you was leader,mpiganaji,hardworking hakika umeacha pengo ludewa,pole wa mke na watoto na wanaludewa
Uchaguzi wa mwaka huu????
1 - Mohamed Mtoi
2 - Selina Kombani
3- Mgombea ubunge Arusha
4- Mzee Makaidi
5- Abdalla Kigoda
6- David Mwamunyange
7- Deo Filikunjombe
Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina la bwana lihimidiwe
Dah nimeumia mno kwa Deo...yaani imeniuma mno,BORA HATA VUVUZELA LINGEONDOKA...OOH GOD
Huyu mtawala aliingia na giza na atatoka na giza lake!! Anawatoa watu kafara na bado inaelekea wanaemtafuta bado hawajampata, na hawampati ng'oo kwasababu analindwa na MUNGU wa wananchi wote!! Hizo saa mbili mbili mlizokuwa mnavaa zitawarudia wenyewe!!
Naichukia CCM lakini sio mpiganaji kama Deo... R.I.P
Mkuu wangu Tyta huyu jamaa ni mpuuzi sana.. Sasa sijui hizo taarifa za uhai alizokuwa anazitoa bila ya evidence tangia jana alikuwa anapewa na nani. Angalau Nyalandu aliweka hali halisi na kutoa taarifa bila ya ushabiki..