TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Oooh Deo. Mimi NI chadema.Ila hata sisi tumeuMIA SANA KWANI KIJANA HUYU ALIKUWA MPAMBANAJI SANA HADI CDM Walipata kigugumizi ktk Eneo hili. ALIFANYA KAZI SANA. May GOD Rest him in PEACE.AMEN. POLENI SANA WATANZANIA.
 
RIP Deo na wengine waliopoteza maisha katika ajali hiyo
 

Attachments

  • 1444996475612.jpg
    1444996475612.jpg
    15.9 KB · Views: 276
Ingawa kifo ni majaaliwa, ila Deo Filikunjombe
alikuwa jembe sana. R.I.P Deo filikunjombe

db5066ecbe01c509979a4b19e6e0e49f.jpg
 
Last edited by a moderator:
R.I.P DEO FILIKUNJOMBE. Mungu awafariji wote waliofikwa na Msiba huu!
Kweli inauma sana!
 
Nani kakuambia kama zimetoka Kenya? Kwa hiyo zimekodiwa kutoka Kenya bila marubani maana nachojua helkopter zote zinaendeshwa na marubani waTanzania
 
Aisee siwezi izungumzia huzuni ya huu msiba ooooh deo, Deo, Deo, Deo, Deo sina la kufanya jina la Bwana lihimidiwe.
 
Dah!hata sijaamini aisee! pumbizika kwa amani kamanda Deo na wote waliopoteza maisha!
 
this is too sad, i'm frozen dah!!!, RIP Deo, we will always remember you.
 
May his soul rest in peace,what a tragedy!Deo you was leader,mpiganaji,hardworking hakika umeacha pengo ludewa,pole wa mke na watoto na wanaludewa
 
  • Thanks
Reactions: nao
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom