TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

May his soul rest in peace,what a tragedy!Deo you was leader,mpiganaji,hardworking hakika umeacha pengo ludewa,pole wa mke na watoto na wanaludewa
Kiinglish cha magufuli (you was leader).

Poleni sana wafiwa.
 
Namdharau January Makamba kuliko chochote kilichopo chini ya jua. Kukanusha tuu na kufanya kila jambo ni propaganda tu na kuanza kuwashambulia wapinzani kuwa wanawaombea mabaya, what a Shame, and yet he is cosidered one of the Think Tank nchini. Takataka, I'm sorry to say ila Nisingeumia kama hivi endapo yeye ndo angekuwa kwenye hiyo Chopa iliyowaua kina Filikunjombe. Mungu nisamehe! R.I.P Deo, wenzako wametuzingua tu huku kuhusu wewe na wenzako!
 
R.I.P Deo filikunjombe , kwa upande wangu
mie nilikuwa nina kukubali sana licha yakuwa ulikuwa
ugambani.

 
Last edited by a moderator:
Uchaguzi wa mwaka huu????

1 - Mohamed Mtoi
2 - Selina Kombani
3- Mgombea ubunge Arusha
4- Mzee Makaidi
5- Abdalla Kigoda
6- David Mwamunyange
7- Deo Filikunjombe

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, Jina la bwana lihimidiwe

kwamtoro, kuna vitu vya kutania lakini sio hili (no. 6)
 
Ee Mungu uilaze mahali Pema peponi roho ya marehemu Deo Filikunjombe mbunge wangu.
 

Mungu wenu ni Shetani na ndio maana yuko na Shetani wenu Lowassa. Ikifika siku yake Mungu aliompangia ataondoka tu
 
Hapa Kuna Mchezo Unachezeka Kati Ya Pande Mbili,sisi Tumewekwa Kama Watazamaji Tu,na Ndo Kwanza Ipo Half Time...Na Bado Wapo Wengine Viporo.Haiwezekani Mtoi,mtikila,kombani,makaidi,deo Wote Kipindi Hiki Na Lembeli Alishawekwa Kwenye Radar Bahati Yake Mizimu Ya Kwao Imemuokoa.....!
 
Mkuu wangu Tyta huyu jamaa ni mpuuzi sana.. Sasa sijui hizo taarifa za uhai alizokuwa anazitoa bila ya evidence tangia jana alikuwa anapewa na nani. Angalau Nyalandu aliweka hali halisi na kutoa taarifa bila ya ushabiki..

Hapo ndio utajua CCM kwa uongo ni namba 1,hawaoni hata aibu kwenye maswala mazito kama haya?nimemdharau sana huyo January,
R.I.P Filikunjombe ulikuwa mpambanaji Wa ukweli nimeumia sana kukupoteza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…