TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Hapo ndio utajua CCM kwa uongo ni namba 1,hawaoni hata aibu kwenye maswala mazito kama haya?nimemdharau sana huyo January,
R.I.P Filikunjombe ulikuwa mpambanaji Wa ukweli nimeumia sana kukupoteza

Ovyo sana huyo mtu.. Mpuuzi wa wapuuzi. Na huko jimboni kwake akirudishwa bungeni nitashangaa sana..
 
It is so sad and honestly I can feel pain. In Deo Filikunjombe we remain united as a nation. It is a very big loss to this nation. He was young, committed, patriotic, reasonable guy with whom one could count on from a few remaining upright CCM members. We pray God to bless him plenty and decide his destiny according to what he did to this beloved country of ours. RIP Deo.
 
Poleni sana. Si jambo la furaha wala tusilitumie kisiasa. Mungu BABA atusamehe wote tunaoweka mzaha kwenye mambo ya uhai na uzima.Jerry, pole sana na wananchi wote wa jimbo la Mh Deo, poleni sana. Mungu MWENYEZI awape faraja ya kweli
 
R. I. P. Deo Filikujombe. Too young to go but we have no say in this, it is the wish of God
 
R.I.P brother a fighting man for the Tanzanians left in CCM but now you have run away..so sad.!
 
I see so sad nani atatutetea na kufichua mafisadi sipendi chama chake lakini Huyu kaka alikuwa anapigania maslahi ya wananchi.wameamua kumchukua r.I.p Deo
 
kumbe vinauma eeeeeh,by the way nilikuwa namquoate aliyetamani mkapa angekuwemo kwenye hiyo chopa

Ndugu usiimee kesho kwa vile hujui siku wala saa binaadamu ukishazaliwa unakuwa marehemu mtarajiwa maombi na kutenda yanayompendeza Mungu ndio uzima wa mwanadamu dhambi inaleta mauti hutanielewa lakini ukisoma maandiko Matakatifu utaelewa tu.
 
R.I.P Deo umeondoka mapema taifa bado lilikuwa linakuitaji
 
R.I.P. Deo na abiria wengine waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo. Pole sana Jerry & Fred Silaa
 
R.I.P Deo, You left us in this critical period, You was my hero, true young Tz Politician, patriot...We will always honour your effort in building an even more strong Tz.
 
Imeangukia nini? Yaani kifo hakina adabu. Tanzania tumepoteza kifaa kwa maneno ya marehemu Dr. Makaidi. Wiki hii ni mbaya sana. Haiwezekani tupoteze watu watatu wazito nndani ya siku tano tu!!!! Mungu tusamehe tulichokukosea!!!!!
 
Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu zipumzike kwa Amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…