TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

chopa ilikuwa na watu wanne lakini kila mtu anamuongelea deo iyo sio sawa....rip to all who have lost their life in that accident
 
Hili ndilo neno kuu ndg yangu jerry silaa 'tumshukuru mungu kwa kila jambo' nakupa pole sana wewe na wanafamilia wote!
 
Rest in Peace Deo, A patriot that served his country well with honesty and integrity. You inspired most of us.
 
Kifo cha binadamu yeyote kinatia uchungu. Wanasiasa tuliowapoteza ni binadamu kama wengine au watanzania wengine. Uchaguzi umetufanya tuzungumzie sana siasa kipindi hiki.

Labda ni kwa sababu tunataka tusiendelee kupoteza watanzania wenzetu kwa sababu zinazoweza kuzuilika:

Wangapi wanakufa kwa malaria wakati inatibika au inaweza kukingwa?
Akina mama wangapi wanakufa wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma za msingi kabisa?
Watoto wangapi wanakufa kila mwaka kwa kukosa vitu vya msingi kama lishe kwa sababu ya umaskini uliokithiri?
Watanzania wangapi wanakufa kwa ajli za barabarani ambazo zinaepukika?
Watanzania wangapi wanakufa kwa kukosa elimu ya msingi kabisa kwa sababu ya umaskini?

Tunapo tafakali vifo vya wanasiasa, tupate nafasi ya kutafakali haya pia. Mungu ijalie Tanzania tupate wanasiasa wanaowafikiria watanzania kwa ujumla na sio familia zao binafsi.
 
angalieni kwa makini zilianza ajali za mabasi ya abiria mfululizo na mengine kuwaka moto, sasa hivi ni kwa viongozi wa nchi tena wateule na wagombea, watarajiwa wa kuiongoza nchi katika awamu nyingine ya utawala
 
Daah me chadema lakini kwa deo sijaelewa kabisa hapa.Msalimu Mtoi huko.
 
Kwa dalili hizi naona kifo cha mgombea Urais... Eeh Mola wanusuru waja wako.
 
Taarifa zinasema Chopa iliungua Je Miili Ipo au ni Majivu?




Swali Lako Laweza Kujibiwa Vizuri Na Huyu Bibi FaizaFoxy Maana Yaonesha You Have Something In Common, Shallow Thinking, Unataka Jibu Gani Hapo Katika Swali Hilo?, Unajiuliza Na Kujijibu! Sawa Kabisa Na Kujitekenya Na Kucheka Mwenyewe!. Hizi Ndizo Akili Za Wana Ccm! Rejea Kauli Ya Mch. Msigwa Bungeni. Hujambo Lakini?!
 
Last edited by a moderator:
January si ndio think tanker wenu? au hujui ndio msemaji wa ccm? tulioikataa ccm haya tunayajuwa siku nyingi jishangae wewe usimshangae Makamba.

Hiyo Tweet ya January sijaisoma, ila kwa jinsi watu wanavyoonyesha kukasirika lazima itakuwa ya hovyo sana. Jambo ambalo wengi ndani ya CCM hawajui ni kuwa pamoja na kuwa Baba yake January Mzee Makamba alikuwa Bogus sana kiasi cha kuitwa Pwagu, huyu mwanae ni zaidi ya baba. Lakini ndani ya CCM mtu akiwa bogus lakini mjanja mjanja basi huwa anachukuliwa ni Think tank. Hasa kama ataonyesha mbinu chafu za kukabiliana na Wapinzani.
Unaweza kushangaa mwenyewe kuwa katika timu ya watu Mashuhuri 32 walioteuliwa na chama kumkampenia mgombea wa chama Tawala (maana lazima uwe mashuhuri na makini) wapo Lusinde na Asumpta Mshama. Hiyo ni kuonyesha hata mtu wa hovyo hovyo kabisa anaweza kuonekana Mahiri kama tuu anaweza kuutukana upinzani bila aibu na kuandaa mbinu chafu.
Ndivyo ilivyo kwa Makamba.
 
Hizo dharau zenu zitawatokea puani mwaka huu.
Kwahiyo wazazi wa hao watoto ndio wenye jukumu la kuhakikisha Shule inakua na Madawati ya kutosha?

Naam, kama waliweza kujenga shule kila kata, madawati yanawashinda nini? Fikiri.

Si kila kitu kungja kufanyiwa kama maiti.

Njoo kijijini kwetu ujionee, hakuna mwanafunzi asiye na dawati na kiti na hakuna chumba kimoja cha darasa kusoma zaidi ya watoto 45. Na hatukungoja Serikali, Serikali inatuletea walimu tu na kila Mwalim akija hataki kuondoka kwani tunampa eka mbili za kulima na tunamsaidia kulima, kupalilia na kuvuna na faida ni yake.

Hakuna Mwalimu asiye na nyumba ya kuishi kijijini kwetu na samani zote za ndani tunamchangia.

Lakini zote zina "inventory" anakabidhiwa rasmi ni mali ya kijiji na akiondoka anawacha vyote anaondoka na yake tu. Shamba ni lake lakini ardhi ni ya kijiji ili asiuze.

Hatungoji serikali, sisi siyo maiti.
 
Kama wangeangukia anga zangu,ningewamalizia kwa mishale.Tumewachoka hawa ccm kila siku vitisho tu.25 October wakwere tutafahamiana tu.

Wewe mwendawazimu usamehewe bure maana viroba vinakufanya vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…